Mambo/Jambo ambalo sikupenda utotoni

Mambo/Jambo ambalo sikupenda utotoni

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Kulishwa chakula na mtu mweusi , haswa mwenye ngozi iliyosinyaa(Mzee).😀 Hapo natema pupupupu!.

Kuitwa jina la mtu mjinga/kichaa/au yoyote nisiyempenda kwa alivyo mfano unaitwa 'we kasoloboi' wakimaanisha sijui jamaa flani la kihindi ila sijui tabia yake. Mwingine anakuita 'we Zebedayo nini' Dah!

Kingine ni kuitwa MUME WA BIBI HAHAHA, Hapo bibi ananiita mimi kuwa mme wake.

Ni hayo tu na ni utoto tu.
 
Nilikuwa naitwa mzee lomolomo kuna siku nilitaman niue mtu ila na udogo wangu najikuta nanywea tuu
 
nilikua na tumbo lakini jina la kuitwa tumbo sikulipenda kwakweli
 
Back
Top Bottom