Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuhuma za wewe kuwa shoga zina ukweli?Msipende kunizungumzia zungumzia mambo yangu, huwa sipendi.
Halafu kuhusu kurudishwa kazini na hao walio nifukuza si kweli. Hawakunirudisha kazini, waliponifukuza nilirudi kitaa nikasurubika sana baadaye nikaanzisha kampuni nyingine iliyotengeneza faida zaidi halafu nikaenda kuinunu apple sababu apple was my thing
Mzee tupe madini yao.Ongeeeni ila Timothy Lee na Mccarthy ndio mwisho wa maneno kwenye Tech..
Steve Jobs is very overrated.Kuna movie inaitwa pirates of silicon valley, inazungumzia maisha ya Steve na Bill. Steve alikuwa mtu wa ovyo sana , mjivuni balaa.