Msipende kunizungumzia zungumzia mambo yangu, huwa sipendi.
Halafu kuhusu kurudishwa kazini na hao walio nifukuza si kweli. Hawakunirudisha kazini, waliponifukuza nilirudi kitaa nikasurubika sana baadaye nikaanzisha kampuni nyingine iliyotengeneza faida zaidi halafu nikaenda kuinunu apple sababu apple was my thing