Trump kabla ya kuanza safari alianza kuropoka na alikwenda akiwa na hofu sana ya kukutana na Putin,1. Trump kurudia mara mara kwa mara kulitaja jimbo la Alaska kama sehemu ya Urusi, wakati anenda Alaska alikuwa akisema anaenda Urusi kukutana na Putin, wakati anarudi Washington alisema anarudi Marekani
2. Trump kupewa somo la uchaguzi na demokrasia na Putin.
Trump anasema Putin amemuambia kwamba uchaguzi wa mwaka 2020 aliibiwa na Biden na kwamba pia hakuna uchaguzi wa demokrasia kwa njia ya Posta kama wanavyofanya Marekani. (Putin amekaa madarakani Urusi kwa zaidi ya miaka 20 na wapinzani wake wengi wa kisiasa hupata ajali za kuanguka kutoka ghorofani au sumu)
3. Trump kutembea zig zag kwenye zulia jekundu akienda kumpokea Putin
View attachment 3443224
Weka video wacha stories za vujiweni.Trump kabla ya kuanza safari alianza kuropoka na alikwenda akiwa na hofu sana ya kukutana na Putin,
Angalaia wakati anapeana mkono na Putin utaona kuwa Trump alikuwa anatetemeka,
Hiyo zigzag ni noma1. Trump kurudia mara mara kwa mara kulitaja jimbo la Alaska kama sehemu ya Urusi, wakati anenda Alaska alikuwa akisema anaenda Urusi kukutana na Putin, wakati anarudi Washington alisema anarudi Marekani
2. Trump kupewa somo la uchaguzi na demokrasia na Putin.
Trump anasema Putin amemuambia kwamba uchaguzi wa mwaka 2020 aliibiwa na Biden na kwamba pia hakuna uchaguzi wa demokrasia kwa njia ya Posta kama wanavyofanya Marekani. (Putin amekaa madarakani Urusi kwa zaidi ya miaka 20 na wapinzani wake wengi wa kisiasa hupata ajali za kuanguka kutoka ghorofani au sumu)
3. Trump kutembea zig zag kwenye zulia jekundu akienda kumpokea Putin
View attachment 3443224
Yeah!...No ceasefire no deal..Naona Pro NATO wanatafuta vijifarajq vya kuungaunga.
Angalieni western media wanalalamika Trump kawa humiliated.
Na ww unaamin kule usa kuna democrasia .. subiri uchaguzi wa wa marekani 2028 mungu akitujaalia ndo utafahamu1. Trump kurudia mara mara kwa mara kulitaja jimbo la Alaska kama sehemu ya Urusi, wakati anenda Alaska alikuwa akisema anaenda Urusi kukutana na Putin, wakati anarudi Washington alisema anarudi Marekani
2. Trump kupewa somo la uchaguzi na demokrasia na Putin.
Trump anasema Putin amemuambia kwamba uchaguzi wa mwaka 2020 aliibiwa na Biden na kwamba pia hakuna uchaguzi wa demokrasia kwa njia ya Posta kama wanavyofanya Marekani. (Putin amekaa madarakani Urusi kwa zaidi ya miaka 20 na wapinzani wake wengi wa kisiasa hupata ajali za kuanguka kutoka ghorofani au sumu)
3. Trump kutembea zig zag kwenye zulia jekundu akienda kumpokea Putin
View attachment 3443224
Democrats bwana1. Trump kurudia mara mara kwa mara kulitaja jimbo la Alaska kama sehemu ya Urusi, wakati anenda Alaska alikuwa akisema anaenda Urusi kukutana na Putin, wakati anarudi Washington alisema anarudi Marekani
2. Trump kupewa somo la uchaguzi na demokrasia na Putin.
Trump anasema Putin amemuambia kwamba uchaguzi wa mwaka 2020 aliibiwa na Biden na kwamba pia hakuna uchaguzi wa demokrasia kwa njia ya Posta kama wanavyofanya Marekani. (Putin amekaa madarakani Urusi kwa zaidi ya miaka 20 na wapinzani wake wengi wa kisiasa hupata ajali za kuanguka kutoka ghorofani au sumu)
3. Trump kutembea zig zag kwenye zulia jekundu akienda kumpokea Putin
View attachment 3443224
Alfa male ndio nani tenaPamoja na kua Putin ni Alpha male kakutana na mwendawamu Trump ambae ni sigma male imagine Kamala harris angekua ndio Rais wa US angetia aibu ya karne maana angempigia magoti Put-In kama wanawake wa kisukuma
AlphaAlfa male ndio nani tena
Hata wewe huwa unajidogosha wakiwepo watu fulani fulaniAlpha
Beta
Sigma
Ni personality za watu
Putin ni Alpha male ni binadam ambae hata Rais wa US akikutana nae lazma ajiihisi ni mdogo kwake
Hata ww kuna watu kibao ukikutana nae apo mtaani kwako unakuta hata humjui Lakn unajiona ww ni inferior kwake bila ata sabubu
Mimi pia nimegundua ni Alpha male kwa hawa wamama au mishangazi..Alpha
Beta
Sigma
Ni personality za watu
Putin ni Alpha male ni binadam ambae hata Rais wa US akikutana nae lazma ajiihisi ni mdogo kwake
Hata ww kuna watu kibao ukikutana nae apo mtaani kwako unakuta hata humjui Lakn unajiona ww ni inferior kwake bila ata sabubu
Yaap wapo wengi japo waga najitaidi sanaaa kuficha huo uzaifu lakn ndani yangu nakua na feel inferiorHata wewe huwa unajidogosha wakiwepo watu fulani fulani