Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,103
- 7,102
Hahaha 😂 😂 😂Mimi pia nimegundua ni Alpha male kwa hawa wamama au mishangazi..
Naweza kutana namtu unakuta anatulia lakini hyo unaambiwa ni mmama wa watoto na kwao huko yupo vzri tu..
Ila akikutana na mimi sasa kimya an anaogopa pale na mimi ndo natumia fursa kumgalagaza aiseee...
Hii ni karima kweli mi mpaka najishangaa...
Kuna haja kila mwanaume ikifika wakati lazima tujifunze personality na jinsi gani unaweza kuitumia ku manipulate other people for our benefits