Mambo kadhaa yaliyozua mjadala Trump alipokutana na Putin Alaska

Hahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kuna haja kila mwanaume ikifika wakati lazima tujifunze personality na jinsi gani unaweza kuitumia ku manipulate other people for our benefits
 
Hahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kuna haja kila mwanaume ikifika wakati lazima tujifunze personality na jinsi gani unaweza kuitumia ku manipulate other people for our benefits
Sasa mimi hyo ninayo mkuu sijui kwanini wengine hawana huu uwezo kama wangu..
.kuna wengine humu ni mega kama huyu Monetary doctor yaan yeye akiona nguruwe au kitimoto jamaa anapoa sana kiasi ambacho anaweza sahau mpaka yeye ni jinsia gani
 
Yeah Kuna hayo mazingira yapo
 
Naona Pro NATO wanatafuta vijifarajq vya kuungaunga.
Angalieni western media wanalalamika Trump kawa humiliated.
Mkuu just ignore 'em na vifaraja vyao vya kuungaunga wanafikiri vitawasaidia kuvuka Rubicon!!

After all he/she who knows not that he/she knows not tumuiteje? Jibu wanalo.
 
Mkuu just ignore 'em na vifaraja vyao vya kuungaunga wanafikiri vitawasaidia kuvuka Rubicon!!

After all he/she who knows not that he/she knows not tumuiteje? Jibu wanalo.
Ni kweli Mkuu ya Pro USA na na Ukraine wanajaribu kuonesha Putin kadharaulika lkn ukifatilia media za west zote zinamlaumu Trump kwa kua humiliated,maana wanasema inakuaje dictator na criminal unampa mapokezi ya heshima kwa kiwango Cha juu namna hiyo?
Kichekesho wanawalaumu Hadi wanajeshi wa USA wale waliokua wameinama kutandika zuria jekundu ambapo alipita Mwamba Poutine.
 
Kama anaenda kumpokea amekunywa viroba kwanini asitembee anayumbayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…