Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unawaza misoc 2?pcm wa pale huwa wanaliwa vichwa balaa.
kuliwa vichwa ndo nini?
Mimi nimesoma hapo Minaki. Walimu wapo wa kutosha. Miundombinu kama madarasa,mabweni,kumbi etc inatosha. Maji yapo although yana fungus. Mazingira ni conducive ktk kusoma. No red tapes in administration compared to the previous time. Shule ipo wilaya Kisarawe mkoa wa Pwani. Mafenesi,nazi,madafu,mihogo etc, vinapatikana kwa wingi. Chakula cha hapo shuleni ni cha kuridhisha. Ni PM nikupe maelezo zaidi otherwise nakutakia masomo mema.
Umeupata ujumbe wangu?Nishaku PM bro
Umeupata ujumbe wangu?