Mambo kumi kuhusu mr 2 .a.k.a sugu!

Mambo kumi kuhusu mr 2 .a.k.a sugu!

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
nimeyatoa katika kitabu chake'from streets to the parliament'muziki na maisha.
1.amepata elimu katika mikoa ya arusha,dar.mbeya na mtwara
2.alipokuwa mdogo alipenda awe padri ikiwezekana awe askofu
3.alianza utundu wa kuvuta bangi alipokuwa form 3
 
4. Alifukuzwa shule baada ya kugoma viboko assembly
5.mwaka 1993 aliondoka mbeya kwenda s.africa lakini aliishia zambia
6.alianza music mwaka 1992.
7.mwaka 1994 alikuwa mlinzi katika kampuni ya bp
8.wimbo wake wa kwanza unaitwa siku yangu.
 
9.album yake ya kwanza alipewa 50,000 na wadosi ila akakataa.
10.demu wake aliyempenda sana alikua mdogo wa rafiki yake ambaye mzazi wao alikua waziri.
hyo ni part one,ntaendeleza muda ujao nikimaliza kusoma hiki kitabu. utapata kujua mambo mengi.
 
utapata kujua jinsi alvyo na wiliam lukuvi,maneno kutoka kwa the late ditopile,dili ya malaria.ushndi wake kwenda bungeni. pia jnsi alivyomkamata jambazi 'mchawi' na kubeba box ughaibuni.
"maisha ni vile unavyoishi inakubidi uwe mbishi by sugu."
 
Jamaa kakomaa na maisha sana.

Historia yake inafunza mengi, hasa vijana kutokata tamaa.

Na kwamba kila kitu kinawezekana ukiweka juhudi.
 
Kitabu kitapatikana wap ukiwa mbeya?


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

sijajua baraka. nilinunua mwanza siku kilipotoka kwa buku 7 then mtu akasepa nacho na last month nkanunua tena ubungo pale
 
Wabongo bana ila akandka hzo vtu chris brown mnaona sawa ila suguu mwajifanya mwaponda!kwendeni kule kawfunika mbayaaaa...sugu ni kama mvua kama inanyesha inanyesha tu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwa wanaonijua toka enzi za MBEYA day...

Au wakati bado mdogo MAMA aliponita MAY...

Miaka chini ya kumi tu nna jina Mtaani...

Kila mtu alinijua mimi, ni Mtoto wa nani...

Ni hivyo hivyo mpaka WALIMU Shuleni...

Na ndio maana mpaka leo mimi sishangai kuShine...

Nilipoanza MUZIKI, sikujua mafanikio yangeambatana na CHUKI...

Mara ngapi nakiukwa na nawaita MARAFIKI...

Sasa nalala macho, wanafiki siwataki...

Maana kila ninachofanya wanaonekana hawataki... "HAA"

Na sijali wanachosema...

BABA alinifundisha kutazama mbele DAIMA...

Na moto ni ule ule tu hakuna wa kuuzima...

Najua wanachotaka...

Kuona SUGU kachoka ili wapate kucheka...

Watasubiri watachoka...

Watapanda watashuka...

Mimi nabaki vile vile kila Siku kila Mwaka...

Na bado nawakilisha tu CHAMA la MADEIWAKA...

Mie ni Fighter naFight bila kuchoka...
 
Sugu kwenye mziki namkubali sana tena sana,nyimbo zake zimeni inspire sana kwenye life langu....ila kwenye siasa dah chui na paka aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom