Mambo kumi unayotakiwa uyafanye katika maisha yako ya kila siku

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Poleni ndugu zetu wa kkoo na wahanga wote ambao mmepta mtihani huo, Leo ngoja niwakumbushe vitu muhimu ambavyo vinatakiwa tuvifanye katika maisha yetu ya kila siku.

1. Kunywa maji asubuh lisaa Limoja kabla ya kula kitu chochote (ukiweka kipande cha limao itapendeza zaidi).

2. Ukianza kuoga anza kujimwagia maji miguuni kabla ya kichwani kwani uwezekano wa kupata stroke ni mkubwa sana ukianza kichwani.

3. Soma angalau kwa dakika 15 au nusu saa kwa siku tafiti zinaonyesha kufanya hvyo inapunguza stress inaongeza kumbukumbu na kuweka akili sawa.

4. Fanya mazoezi angalau nusu saa kwa siku mazoezi yanasaidia kuweka akili na mwili sawa na kuondoa stress.

5. Usinywe au punguza kiwango cha carbonated drinks na vitu vya sukari kwasababu ugonjwa wowote kwenye mwili wetu unahitaji acid condition ili kujitokeza na vitu vya sukari vinazidisha hali hyo kama (soda, pombe na energy drinks) ni hatari kwa afya yako hivyo pendelea zaidi vyakula vya alkaline kama lemon juice mboga mboga pamoja na matunda.

6. Meditation: Hii ni hali ya ukimya kabla ya kulala na baada ya kuamka usishike simu au kuangalia TV kwa dakika 15 au 30 assess your day and your plans na pia inasaidia kuondoa stress na kuweka akili sawa.

7. Kufunga: Tafiti zinaonyesha kufunga ni moja kati ya njia bora ya kuondoa sumu mwilini hivyo angalau kwa wiki ufunge mara moja au ufanye intermittent fasting yaani ucheleweshe kula inasaidia kuweka mwili sawa kama gari na pikipiki unapeleka garage na kumwaga oil kwa nini usifanye hvyo kwenye mwili wako.

8. Technological fasting: Hii ni hali ya kutenga siku maalumu ambayo hutumii simu hasa hizi kubwa na kuangalia TV kwani kuangalia na kutumia simu na TV kwa mda mrefu kunasababisa stress lakini pia kunapunguza focus na kupunguza hormone ambazo zinasaidia kupata usingizi.

9. Kusoma vitabu: Hapa ndio tatizo la watanzania wengi hawapendi kusoma wanapenda taarifa za udaku na umbea ila matatizo mengi kama sio yote yanayotusibu katika maisha yetu ya kila siku majibu yapo kwenye vitabu. Unable to stay alone and inability to read books and fear to say No are great causes of depression anxiety agitation angry and stroke we are occupied throughout the year that is dangerous.

10. Help others: Kama una uwezo wa kumsaidia mtu kitu fanya hivyo bila kutarajia malipo yoyote kwasababu kuna punguza stress na kuweka akili sawa ndio maana matajiri wote duniani wanatoa sadaka happyness is contagious. If you see your child is happy you will be happy even if you have a lot of difficulties.

Alamsik.
 
Kwa nn mkuu.
Maagano Mzee.

1. Sitapungukiwa Na kitu
2. Nitalala kwenye malisho ya majani mabichi (huku sio Mashenzini ujue) niyaongozwa kwenye majinya utulivu (huku ni ufukweni, naishi Bahari Beach)
3. Natenda haki
4. Siogopi kitu
5. Watesi wangu wanateswa Mimi nikiendelea kishamiri
6. Hakika wema Na fadhili zinanifuata siku zote za maisha yangu nami nimelishika agano hili milele
 
Bao 3-5 Kila siku
 
🙏🏾
 
Sawa mkuu
 
Sema unajua Nini vyakula vya asili vimeisha ndio maana watu wanaougua ovyo but all in all hakuna chakula chenye shida mwilini shida ni aina ya vyakula tunavyokula Sasa ni vya kisasa Sana baada ya kuua asili ya vyakula vya kiafrica
Na hivyo vya asili navyo pia bomu.
Vinarutubishwa na kuwivishwa na kemikali.
Kila kitu ni short cut kwa kwenda mbele
 
Mtihani mwingine

Hivi professor Janabi naye ana I'd humu!!

Kwenye kula kwakweli hubu mniache kwanza
Mkuu life style imebadilika sana ya kwetu na ya wazee wetu jitahidi uzingatie lishe.
 
Back
Top Bottom