Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe ni Daudi mwana wa Yese? 🙄🙄Maagano Mzee.
1. Sitapungukiwa Na kitu
2. Nitalala kwenye malisho ya majani mabichi (huku sio Mashenzini ujue) niyaongozwa kwenye majinya utulivu (huku ni ufukweni, naishi Bahari Beach)
3. Natenda haki
4. Siogopi kitu
5. Watesi wangu wanateswa Mimi nikiendelea kishamiri
6. Hakika wema Na fadhili zinanifuata siku zote za maisha yangu nami nimelishika agano hili milele
Naomba sababu,tuanzie hapa kwanzaHata yakiwa ya moto mkuu hayafai kuanzia kichwani.
Soda kwa wiki unatakiwa unywe moja tu,soda moja ina wastani wa vijiko tisa vidogo vya sukari,hiyo ni sukar tu,haujaja bado kwenye mambo mengineUsiache mkuu ila punguza tu kwa week ukinywa 2 au 3 inatosha.
Sababu nzuri kabisa,ndio nauliza kwanini iwe maji ya moto na baridi?Kuanza kuoga kuanzia kichwani unasababisha mzunguko wa damu kuwa mkubwa maeneo ya kichwani na inaweza kusababisha kupasuka kwa mishipa ya damu.
Unaweza ukiamua!Soda siwez acha...!
Nakuunga mkona Pepsi baridi inabalaa sanaSoda siwez acha...!
Wewe wasemaKwani wewe ni Daudi mwana wa Yese? 🙄🙄
Ni kwasababu una ongeza pressure kwenye eneo la kichwa kumbuka ni kitu cha ghafla na haraka kwasababu unaongeza tension kwenye kichwa more blood will be pumped to the brain ila ukianza chini una increase tension towards the feet area.Sababu nzuri kabisa,ndio nauliza kwanini iwe maji ya moto na baridi?
Weee, hongera sanaBila kusoma Zaburi 23 Mara Saba sitoboi
PunguzaSoda siwez acha...!
Nilikuuliza makusudi je maji moto au baridi? Lengo ni kuelimishanaNi kwasababu una ongeza pressure kwenye eneo la kichwa kumbuka ni kitu cha ghafla na haraka kwasababu unaongeza tension kwenye kichwa more blood will be pumped to the brain ila ukianza chini una increase tension towards the feet area.
Sawa mkuuNilikuuliza makusudi je maji moto au baridi? Lengo ni kuelimishana
Hapa inazungumzwa maji baridi sana kwasababu,maji baridi sana yatashusha joto kichwani kwa haraka,hapo itabidi damu ije kichwani fasta kuweka joto katika hali ya kawaida pamoja na kuhakikisha oksijeni inapatikana
Asante