Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Soma vizuri comment mkuu imeelezea vizuri na baadhi ya wadau wengi hapo juu.Wadau naomba mnifahamishe kuhusu hii changamoto. Kuna kipindi wakati niko mbeya kutokana na hali ya baridi au hata ukioga maji ya baridi sana kuanzia kichwani. Nilikuwa nahisi kichwa kinauma ni kama vile cranial bones zinajivuta kwa ndani.
Nilishasoma tayari ila nilihisi kuwa changamoto ni nyingine tofauti na hiyo. Ila nimepata kutambua uhusiano.Soma vizuri comment mkuu imeelezea vizuri na baadhi ya wadau wengi hapo juu.
Safi sana.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Poleni ndugu zetu wa kkoo na wahanga wote ambao mmepta mtihani huo, Leo ngoja niwakumbushe vitu muhimu ambavyo vinatakiwa tuvifanye katika maisha yetu ya kila siku.
1. Kunywa maji asubuh lisaa Limoja kabla ya kula kitu chochote (ukiweka kipande cha limao itapendeza zaidi).
2. Ukianza kuoga anza kujimwagia maji miguuni kabla ya kichwani kwani uwezekano wa kupata stroke ni mkubwa sana ukianza kichwani.
3. Soma angalau kwa dakika 15 au nusu saa kwa siku tafiti zinaonyesha kufanya hvyo inapunguza stress inaongeza kumbukumbu na kuweka akili sawa.
4. Fanya mazoezi angalau nusu saa kwa siku mazoezi yanasaidia kuweka akili na mwili sawa na kuondoa stress.
5. Usinywe au punguza kiwango cha carbonated drinks na vitu vya sukari kwasababu ugonjwa wowote kwenye mwili wetu unahitaji acid condition ili kujitokeza na vitu vya sukari vinazidisha hali hyo kama (soda, pombe na energy drinks) ni hatari kwa afya yako hivyo pendelea zaidi vyakula vya alkaline kama lemon juice mboga mboga pamoja na matunda.
6. Meditation: Hii ni hali ya ukimya kabla ya kulala na baada ya kuamka usishike simu au kuangalia TV kwa dakika 15 au 30 assess your day and your plans na pia inasaidia kuondoa stress na kuweka akili sawa.
7. Kufunga: Tafiti zinaonyesha kufunga ni moja kati ya njia bora ya kuondoa sumu mwilini hivyo angalau kwa wiki ufunge mara moja au ufanye intermittent fasting yaani ucheleweshe kula inasaidia kuweka mwili sawa kama gari na pikipiki unapeleka garage na kumwaga oil kwa nini usifanye hvyo kwenye mwili wako.
8. Technological fasting: Hii ni hali ya kutenga siku maalumu ambayo hutumii simu hasa hizi kubwa na kuangalia TV kwani kuangalia na kutumia simu na TV kwa mda mrefu kunasababisa stress lakini pia kunapunguza focus na kupunguza hormone ambazo zinasaidia kupata usingizi.
9. Kusoma vitabu: Hapa ndio tatizo la watanzania wengi hawapendi kusoma wanapenda taarifa za udaku na umbea ila matatizo mengi kama sio yote yanayotusibu katika maisha yetu ya kila siku majibu yapo kwenye vitabu. Unable to stay alone and inability to read books and fear to say No are great causes of depression anxiety agitation angry and stroke we are occupied throughout the year that is dangerous.
10. Help others: Kama una uwezo wa kumsaidia mtu kitu fanya hivyo bila kutarajia malipo yoyote kwasababu kuna punguza stress na kuweka akili sawa ndio maana matajiri wote duniani wanatoa sadaka happyness is contagious. If you see your child is happy you will be happy even if you have a lot of difficulties.
Alamsik.
Miafrika punda kila moja imekuwa daktari! Uongo tu!Usinywe au punguza kiwango cha carbonated drinks na vitu vya sukari kwasababu ugonjwa wowote kwenye mwili wetu unahitaji acid condition ili kujitokeza na vitu vya sukari vinazidisha hali hyo kama (soda, pombe na energy drinks) ni hatari kwa afya yako hivyo pendelea zaidi vyakula vya alkaline kama lemon juice mboga mboga pamoja na matunda.
Atakuwa haijui Pepsi ya baridi huyo!Soda siwez acha...!
Nyinyi ndio wale mnao amini Corona na HIV umetoka kwa mungu kwasababu hamtaki kujaribu kuujua ukweli mkuu hayo ni maoni yangu tu siku nyingine mtu akikuambia kitu kama uanona ni cha uongo kabla hujamjibu nenda Google kwanza au huko kwenye AI ili usijiabishe .Miafrika punda kila moja imekuwa daktari! Uongo tu!
Ni kweli mkuu nothing should owns you and you own nothing live your life to the fullest.Safi sana.
Usisahau na hili:
....ukiamka tu tumia sekunde 7 kujikumbusha siku moja utakufa na hutarudi tena!
Itakusaidia kuishi bila hofu, kiasi, stressfree, mahangaiko, dhulma, fitina, hujuma, uovu uliopitiliza, tamaa ovu na visasi.
[kuna kabila linafundisha watoto tangu tumboni kuwa pesa ndo kila kitu, na jingine linafundisha utajiri ni watu..'mali bantu'!
Tunapokutana huku juu tunasumbuana sana ni kama shetan na malaika wamekutanishwa zizi moja]
Hivi limao na ndimu sio acid?Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Poleni ndugu zetu wa kkoo na wahanga wote ambao mmepta mtihani huo, Leo ngoja niwakumbushe vitu muhimu ambavyo vinatakiwa tuvifanye katika maisha yetu ya kila siku.
1. Kunywa maji asubuh lisaa Limoja kabla ya kula kitu chochote (ukiweka kipande cha limao itapendeza zaidi).
2. Ukianza kuoga anza kujimwagia maji miguuni kabla ya kichwani kwani uwezekano wa kupata stroke ni mkubwa sana ukianza kichwani.
3. Soma angalau kwa dakika 15 au nusu saa kwa siku tafiti zinaonyesha kufanya hvyo inapunguza stress inaongeza kumbukumbu na kuweka akili sawa.
4. Fanya mazoezi angalau nusu saa kwa siku mazoezi yanasaidia kuweka akili na mwili sawa na kuondoa stress.
5. Usinywe au punguza kiwango cha carbonated drinks na vitu vya sukari kwasababu ugonjwa wowote kwenye mwili wetu unahitaji acid condition ili kujitokeza na vitu vya sukari vinazidisha hali hyo kama (soda, pombe na energy drinks) ni hatari kwa afya yako hivyo pendelea zaidi vyakula vya alkaline kama lemon juice mboga mboga pamoja na matunda.
6. Meditation: Hii ni hali ya ukimya kabla ya kulala na baada ya kuamka usishike simu au kuangalia TV kwa dakika 15 au 30 assess your day and your plans na pia inasaidia kuondoa stress na kuweka akili sawa.
7. Kufunga: Tafiti zinaonyesha kufunga ni moja kati ya njia bora ya kuondoa sumu mwilini hivyo angalau kwa wiki ufunge mara moja au ufanye intermittent fasting yaani ucheleweshe kula inasaidia kuweka mwili sawa kama gari na pikipiki unapeleka garage na kumwaga oil kwa nini usifanye hvyo kwenye mwili wako.
8. Technological fasting: Hii ni hali ya kutenga siku maalumu ambayo hutumii simu hasa hizi kubwa na kuangalia TV kwani kuangalia na kutumia simu na TV kwa mda mrefu kunasababisa stress lakini pia kunapunguza focus na kupunguza hormone ambazo zinasaidia kupata usingizi.
9. Kusoma vitabu: Hapa ndio tatizo la watanzania wengi hawapendi kusoma wanapenda taarifa za udaku na umbea ila matatizo mengi kama sio yote yanayotusibu katika maisha yetu ya kila siku majibu yapo kwenye vitabu. Unable to stay alone and inability to read books and fear to say No are great causes of depression anxiety agitation angry and stroke we are occupied throughout the year that is dangerous.
10. Help others: Kama una uwezo wa kumsaidia mtu kitu fanya hivyo bila kutarajia malipo yoyote kwasababu kuna punguza stress na kuweka akili sawa ndio maana matajiri wote duniani wanatoa sadaka happyness is contagious. If you see your child is happy you will be happy even if you have a lot of difficulties.
Alamsik.
Miki bila ayatur kursiyu na yasiin sitoboi
Soma kadri uwezavyoNipe elimu Ayatul Kursiyu unasoma ngapi na Yasiin ngapi.
Inaleta matokeo gani mkuu?Bila kusoma Zaburi 23 Mara Saba sitoboi