Mambo kumi yaliyotikisa kesi ya Jamhuri v Mbowe haya hapa

WS ameona akijidai kwenda na sheria kwenye hiyo issue ataumbuka, akaona bora aite mizimu ya kwao apandishe mashetani labda kina Kibatala watamuogopa, lakini wapi, kama anajidai anaelewa yeye kikwao, bado jamaa wanataka majibu ya kisheria mbele ya safari.
 
Kesi ya Mbowe imeletwa na Mungu kwa Makusudi ili KUUMBUA MAHAKAMA , POLISI NA SERIKALI YA TANZANIA ili kuliponya Taifa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kama matokeo ya kesi hii hayatatusaidia kurekebisha uozo huu, basi hatuna tena cha kutegemea kwamba kitawafanya waTanzania waone mapungufu makubwa ndani ya nchi yao.
 
Katika kesi ya shujaa wa siasa za Tanzania yapo mambo kumi yanayosisimua nakuonyesha aina ya binadamu tunaokutana nao misikitini na makanisani walivyo na roho za kikatili, ntaeleza kwa mfumo wa count down
1. Kielelezo kinatoka store ya Mahakama kinafika kwa wakili wa serikali na Kisha kwa shahidi na Mahakama haishtuki inaona Jambo la kawaida

2. Sahidi anaingia kizimbani kutoa ushahidi akiwa na simu, kalamu na diary bila mahakama kusema chochote na anaposhtukiwa mahakama inachukua diary inaahirisha kesi itasikiliza madhara ya hiyo diary jumatatu

3. Jaji anachukua diary ya shahidi bila kutaka kuweka rekodi kwa pande zote kwamba diary hiyo ilikuwa imeandikwa Nini na vilivyoandikwa humo ndani vinaathiri vipi kesi inaypendelea? Anapoulizwa kuhusu custody ya diary hiyo anasema itabaki mahakamani bila kufafanua ameichukua kwa sheria ipi na je anahakikishiaje mahakama na Mawakili wa pande zote kwamba jumatatu atakuja na diary aliyochukua mahakamani?

4. Naibu Msajili wa Mahakama anamwita Constable wa Polisi anamkabidhi nakala y barua itakayotumika kwenye kesi kama ushahidi bila kuonyesha kwamba Ni kwanini kwa cheo chake afanye kazi za maafisa masijala? Tunatambua wazi kwamba barua hazitoki mikononi mwa Msajili kwenda kwenye ofisi au taasisi au mtu binafsi bali zinapita masijala, unajiuliza hii ya leo imetokeaje?

5. Ni katika kesi hii ambapo majaji wote wanaosikiliza awafanyi maamuzi bila kujipa break ya muda flani

6. Ni katika kesi ambapo Jaji anakiuka maamuzi yake Mwenyewe lakini majaji wawili wanatoa maamuzi nyeti kwa kusukumwa na hisia binafsi

7. Ni katika kesi hii ambapo watuhumiwa watatu Kati ya wanane walitoa maelezo kwa ridhaa yao huku wakikataa kuita ndugu Wala jamaa lakini wakati wa kesi wameweka Mawakili.

8. Ni katika kesi hii unashuudia asilimia zaidi ya 90 ya mashahidi wanatoka chombo kimoja Cha seriakali ambacho kilituhumu, kikakamata, kikahoji na kuandaa ushahidi

9. Ni katika kesi hii unamkuta mkuu wa mkoa wa Arusha na Wilaya pamoja na vijana wao wanaondoka mkoani kwao wanakwenda kufanya- kazi mikoa mingine kwa kuaminiwa lakini watu hao awajawahi kubaini uhalifu uliokuwa unafanywa na sabaya katika eneo lao kazi.

10. Ni katika kesi hii ambapo aliyedai kutaka kudhurika kwa Sasa Ni mfungwa wa miaka 30 na aliyehusika kukamata ( Jumanne) amesimamishwa kazi kwa kuweka jino la tembo nyumbani kwa retired seniour officer wa serikali na mwakilishi wa nchi yetu kwenye mashirika ya kimataifa na baada ya kuweka meno nyara kwa kumbambikia wakamwelekeza awape milioni Mia moja na hata baada ya siri kufichuka hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake.

Thats my top ten issues kwenye kesi hii hadi Sasa.
Hapa no pale unapotumika weledi wa kitanzania
 
Tunashuhudia aibu ya Karne kwa huu muhimili.
 
Hi

Hii kesi itabaki kwenye historia zaidi ya miaka 1000 mbele.
 
Kwani 'thrller novel na movie' wewe unadhani hupatikana vipi?

Mkuu 'Beatrice' umetoa mhitasari maalum wa kesi hii ambayo kiukweli ni aibu kwa wahusika. Nikisema wahusika wa kwanza kabisa ni hao wanaojifanya kuigiza 'utawala bora' huku wakiwa hawajui maana yake ni nini.

'Maza Mizinguo' anajivua nguo kwa jambo ambalo angelitumia kujijengea heshima kubwa katika uongozi wake wa bahati nasibu aliyoiokota mtaani.
same same Jiwe
 
Mtu mwenyewe ni gaidiii ataachwaje kuhukumiwa kama walivyohukumiwa akina sabaya?? Wasipotenda haki kwa gaidi, hatuwaelewiii

Ukitaka kujua ccm kumejaa vilaza ndio kwenye mambo kama haya. Kesi ya Mbowe haina ufanano wowote na kesi ya Sabaya, na hata mwenye wa ushahidi unaiacha serikali, mahakama na vyombo vya dola kwenye mahusiano yasiyo ya uadilifu. Lakini kilaza kama huyu anakwambia lazima Mbowe afungwe kama Sabaya!🙆
 
Bola hata ya sabaya kuliko ya gaidiii
 
Katika kesi ya shujaa wa siasa za Tanzania yapo mambo kumi yanayosisimua nakuonyesha aina ya binadamu tunaokutana nao misikitini na makanisani walivyo na roho za kikatili, ntaeleza kwa mfumo wa count down
1. Kielelezo kinatoka store ya Mahakama kinafika kwa wakili wa serikali na Kisha kwa shahidi na Mahakama haishtuki inaona Jambo la kawaida

2. Sahidi anaingia kizimbani kutoa ushahidi akiwa na simu, kalamu na diary bila mahakama kusema chochote na anaposhtukiwa mahakama inachukua diary inaahirisha kesi itasikiliza madhara ya hiyo diary jumatatu

3. Jaji anachukua diary ya shahidi bila kutaka kuweka rekodi kwa pande zote kwamba diary hiyo ilikuwa imeandikwa Nini na vilivyoandikwa humo ndani vinaathiri vipi kesi inaypendelea? Anapoulizwa kuhusu custody ya diary hiyo anasema itabaki mahakamani bila kufafanua ameichukua kwa sheria ipi na je anahakikishiaje mahakama na Mawakili wa pande zote kwamba jumatatu atakuja na diary aliyochukua mahakamani?

4. Naibu Msajili wa Mahakama anamwita Constable wa Polisi anamkabidhi nakala y barua itakayotumika kwenye kesi kama ushahidi bila kuonyesha kwamba Ni kwanini kwa cheo chake afanye kazi za maafisa masijala? Tunatambua wazi kwamba barua hazitoki mikononi mwa Msajili kwenda kwenye ofisi au taasisi au mtu binafsi bali zinapita masijala, unajiuliza hii ya leo imetokeaje?

5. Ni katika kesi hii ambapo majaji wote wanaosikiliza awafanyi maamuzi bila kujipa break ya muda flani

6. Ni katika kesi ambapo Jaji anakiuka maamuzi yake Mwenyewe lakini majaji wawili wanatoa maamuzi nyeti kwa kusukumwa na hisia binafsi

7. Ni katika kesi hii ambapo watuhumiwa watatu Kati ya wanane walitoa maelezo kwa ridhaa yao huku wakikataa kuita ndugu Wala jamaa lakini wakati wa kesi wameweka Mawakili.

8. Ni katika kesi hii unashuudia asilimia zaidi ya 90 ya mashahidi wanatoka chombo kimoja Cha seriakali ambacho kilituhumu, kikakamata, kikahoji na kuandaa ushahidi

9. Ni katika kesi hii unamkuta mkuu wa mkoa wa Arusha na Wilaya pamoja na vijana wao wanaondoka mkoani kwao wanakwenda kufanya- kazi mikoa mingine kwa kuaminiwa lakini watu hao awajawahi kubaini uhalifu uliokuwa unafanywa na sabaya katika eneo lao kazi.

10. Ni katika kesi hii ambapo aliyedai kutaka kudhurika kwa Sasa Ni mfungwa wa miaka 30 na aliyehusika kukamata ( Jumanne) amesimamishwa kazi kwa kuweka jino la tembo nyumbani kwa retired seniour officer wa serikali na mwakilishi wa nchi yetu kwenye mashirika ya kimataifa na baada ya kuweka meno nyara kwa kumbambikia wakamwelekeza awape milioni Mia moja na hata baada ya siri kufichuka hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake.

Thats my top ten issues kwenye kesi hii hadi Sasa.

Jaji ameshapoteza utulivu mpaka sasa maana anaitia mahakama aibu kwa kukubali kufuata maagizo ya kihuni ya serikali. Nashangaa jaji anamrudishia shahidi wa jamuhuri simu kwa kisingizo cha privacy, lakini police huwa wanachukua simu za watu na hawawarudishii mpaka mivutano ianze.
 
Ukitaka kujua ccm kumejaa vilaza ndio kwenye mambo kama haya. Kesi ya Mbowe haina ufanano wowote na kesi ya Sabaya, na hata mwenye wa ushahidi unaiacha serikali, mahakama na vyombo vya dola kwenye mahusiano yasiyo ya uadilifu. Lakini kilaza kama huyu anakwambia lazima Mbowe afungwe kama Sabaya![emoji134]
Mkuu unamjibuje mtu kama huyo?
 
Mt
Pambanane huko mahakamani nyie si mnalipwa au mmekuja kutafuta huruma huko .eti Shujaa labada Shujaa wa ukoo wenu
Mtu adanganye amepima utomvu was papai akakuta virus vya corona ndio utamwona shujaa?
 
Gaidi afungwe jamàaaa
1636785826544.jpg

Nakuona unajegejwa hapo mkuu😀😃
 
Back
Top Bottom