Mambo kumi yaliyotikisa kesi ya Jamhuri v Mbowe haya hapa

CCM is in the moribund stage of its life time.
 
Mkuu umesahau Mama Pendo kukumbuka namba ya bastola ila Njagu Jumanne hakumbuki namba ya bastola...na pia kituo cha Mbweni kuonekana pana usalama zaidi kuliko Central polisi.
 
Ni katika kesi hii unashuudia asilimia zaidi ya 90 ya mashahidi wanatoka chombo kimoja Cha seriakali ambacho kilituhumu, kikakamata, kikahoji na kuandaa ushahidi
 
Yaelekea Jaji alikuwa akiwasiliana na Shahidi yule.
 
Nimepitia hoja zako kwa umakini na nimezielewa ingawa sikubaliani nazo na nazipinga kwa nguvu kubwa sana kutokana na sababu zifuatazo:-

a) Kuhusu kielelezo ni kwamba Mahakama ilishituka na ndiyo maana Jaji Tiganga alitoa uamuzi wa kukataa kile kielelezo. Hivyo acheni kupenda kutupia lawama Mahakama kwa kila jambo.

b) Mahakama haikumtuma Jumanne au Sabaya kufanya yaliyofanyika. Kwanini lawama zirudi kwa Mahakama?

c) Mahakama imetenda haki kwa kumfunga Sabaya miaka 30 kwa makosa aliyoyatenda akijificha katika mgongo wa kutekeleza majukumu aliyoagizwa na Rais wa Nchi.

d) Kuhusu shahidi kuwa na Diary na simu ni kwamba Mahakama ilishituka na ndiyo maana ilichukua ile Diary na kuwaomba Mawakili wa pande mbili wakafanye utafiti juu ya hilo jambo na watafanya wasilisho juu ya hilo jambo tarehe 15.11.2021. Ulitaka Mahakama ikurupuke kutoa uamuzi kama unavyomhukumu mpenzi wako?

d) Tuache Mahakama ifanye kazi yake na siyo kuleta hisia za ajabu.
 
Post umeenda shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…