Mambo machache kama unapenda wajapani wakuheshimu na nchi ambazo sio Japani

Mambo machache kama unapenda wajapani wakuheshimu na nchi ambazo sio Japani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Katika mambo ambayo nataka twende kwenye mada kuhusu Wajapani na mataifa ambayo yanaweza kuwa kama japani.

Wajapani wakitaka kukuheshimu kuna mambo mengi ila cha kwanza kikubwa.

Heshimu maisha yako na watu:

Japan ni bora mtu kujiua kama kashindwa kuheshimu maisha yake au watu wake kuliko kuishi kama sisi.

Swala la chakula na chumvi.

Katika vitu ambavyo wajapani sio sisi yani mda wa misosi ni kama tunakula na wanyama yani utengi mda kuwa sasa na msosi.

Wenzetu wanaheshimu upikaji na swala la chunvi bora upikiwe maana wenzetu wanaogopa chunvi kuliko afande muriro kwa uwongo.

Muda na wakati:
Hawa wenzetu kama unataka kukosa vyote fanya maisha ya tanzania yani unaelezwa jana jumatatu ulikosea we unasema jumatatu sikukosea utaelewana na mtu.

Uchaguzi wa maisha na maisha:
Wenzetu walishaweka maisha kuwa sio siasa za ccm ni wewe kuchagua uwe maisha gani sio kuzalisha chawa wakina voicechamber na lucas mwashamba.

Ukaribu wa haraka:
Ukaribu wa haraka una maana unaweza kuishi kokote kwenye nchi na ukaweza kufanya kazi kokote au kutaka chochote bila kuhisia umetengwa.

Mnaotaka kuishi na wajapani mkiweza hapa mtaweza yote.
Haya ni machache.

Ila kwa majina ndio nimechoka:
Rafiki yangu anaitwa K&ma moto
 
Kwa nn wanaogopa chumvi!?
Binafsi sipendi chumvi na sukari huwa nakunywa chai bila sukari
Na chumvi naweka kidogo sana kwenye mboga mtu mwingine akila hawezi isikia
 
Wanakula vyakuka bila chumvi?

Pita nao kimya kimya!
Ndio maana kuzeeka ngumu.embu muangalie huyu si ndio bungeni walitaja kenge
IMG_1441.jpeg
 
Kwa nn wanaogopa chumvi!?
Binafsi sipendi chumvi na sukari huwa nakunywa chai bila sukari
Na chumvi naweka kidogo sana kwenye mboga mtu mwingine akila hawezi isikia
Uwezi kuwa mstaharabu wa akili na umri kama unapenda chumvi.
 
Back
Top Bottom