Mambo machache niliyoyaona mkoa wa Geita

Mambo machache niliyoyaona mkoa wa Geita

Geita hakuna kiwanja chenye hadhi.....na mji ulikuwa hauna ghorofa la maana toka uhuru..ni juzi tu ndugu yangu mjaruo bwana otonde kawatoa kimasomaso kwa kuwajengea otonde plaza[emoji16][emoji16]...kama nasema uongo kataa
Una mzaha sana Geita kulikuwa na maghorofa kadhaa ukianza na Posta, NMB bank, Alfpha Hotel, Halimashauri, Infotech plaza, Jimboni Catholic too many to mention
 
Na haya ni mambo machache niliyoyaona na kujifunza nilipokuwa mkoani Geita.

(1) watu hawawezi kuutambua utajiri wako au kuuthamini uwezo wako wa kifedha kama hujaingia bar ukawanunulia watu pombe au unywe pombe kwa kiasi kikubwa mpaka ulewe.

(2) kila mwanamke hujiona ni wa thamani kubwa sana kwa sababu wao huamini mchimbaji yeyote wa madini akiwa na fedha starehe yake ya kwanza ni kuzini na mwanamke na kulewa pombe.

(3) asilimia kubwa ya vijana na wanawake wanaumwa magonjwa ya zinaa kama kaswende na kisonono japokuwa wengi wao hawajitambui na wakati mwingine wengine hufikia kuizoea hali hiyo ya miwasho sehemu za siri na kutoa uchafu (usaha au majimaji) angalizo ukiwa mkoa wa geita kinga ni muhimu zaidi ya chakula usiende peku.

(4) ni mkoa wenye madini kila sehemu lakini wazawa ni masikini wa kutupwa na wananuka changamoto hata ukipishana nao barabarani na ndio wenye chuki kubwa na wageni wakiamini wageni wanakuja kuwanyang'anya fursa zao, ukiwa mjanjanja kama mwizukulu mgikuru tegemea kupigwa vita kila kona.
Naona umegundua negativity tu ila positive side hujaona hata Moja la huo mkoa yawekana tatizo nini wewe mwenyewe na aina ya watu wanaokuzunguka
 
Ukisema ni maskini ni uongo asilimia ya matajiri wa huko ni 90 wasukuma sasa hapo wageni kiaje. Angalia machmbo yote ya dhahabu yaliyo kanda ya ziwa then angalia matajiri wa eneo hilo huwa ni 90% wasukuma so kama una Yako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Issue ya umaskini ni tatizo la Nchi nzima hilo, kuna baadhi ya maeneo ukipita unaweza kulia ukisikia kiongozi anasimana jukwaani anasema umaskini umepungua na pato la Mtz limekua.
Kama kuanzia Manyoni mpaka leo watu wanaishi nyumba za nyasi
 
Geita ni mji unaokua haraka kutokana na rasilimali asilia hasa madini. Nilipita miaka ya 1995 wakati mji unapangwa, mwanzoni mwaka huu nimepita tena na kushuhudia utajiri uliopitiliza kwa waliochangamka sambamba na umasikini wa kutupwa.

Mji wa Geita, ungeweza kuwa na hadhi ya juu kama mipangomiji wangeupanga vizuri zaidi, kujenga barabara na majengo katika mpangilio wa kisiasa zaidi...Ingekuwa noma.!! Kahama pia ina kila Sababu ya kuwa mji Matata sana kama utajengwa kufuata mpangomji kabambe.
 
Naona umegundua negativity tu ila positive side hujaona hata Moja la huo mkoa yawekana tatizo nini wewe mwenyewe na aina ya watu wanaokuzunguka
Nimeanza na negativity......kesho nakuletea positivity..
 
Ukisema ni maskini ni uongo asilimia ya matajiri wa huko ni 90 wasukuma sasa hapo wageni kiaje. Angalia machmbo yote ya dhahabu yaliyo kanda ya ziwa then angalia matajiri wa eneo hilo huwa ni 90% wasukuma so kama una Yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuniorodhoshea matajiri watano maarufu wazawa?...........mimi nakutajia mmoja mgeni maarufu wambura ...mmiliki wa waja hospital na waja secondary huyu jamaa ni mkurya.....
 
Kwenu tu ulipotoka ktk familia yako umasikini umewajaa hadi matrakoni...
 
kwani hata stendi ya manispaa ya bukoba si inazidiwa na stendi ya tabata
Bukoba nimefika angalau wana tujighorofa kinachowaangusha ni stendi tu sasa geita kuna lile ghorofa jipya sijui linsitwa atonde sijui karibu na standi ndio lina hadhi
 
Ukiiweka Geita kwenye kundi la masikini, siku ukifika Lindi utakufwaaa!

Wasukuma shida yao inafahamika ni moja tu, ushamba. Ila mengine umewasingizia. Hakuna sehemu yenye watu wakarimu na wachapakazi kama huko usukumani.

Ukishindwa kuelewana na wasukuma, hakuna utakaeweza kuelewana nae!
Wasukuma ukiwa mgeni na una shida ni wakarimu sana, lakini ukiwa ni mgeni (sio mzawa) na ukafanikiwa ni watu wabaya sana
 
Kama kuanzia Manyoni mpaka leo watu wanaishi nyumba za nyasi
Nchi yetu ukiambiwa ni Dunia ya tatu na umekulia Upanga,Osterbay, Mikocheni au Masaki huwezi kuelewa kabisa, tembea vijijini na nje miji uone elf 1000 ilivyo na thamani kubwa
 
Binafsi sijawahi kuona sehemu ina umaskini kuzidi Tunduru-Namtumbo vijiji vya katikati hapo[emoji119]
 
Na haya ni mambo machache niliyoyaona na kujifunza nilipokuwa mkoani Geita.

(1) watu hawawezi kuutambua utajiri wako au kuuthamini uwezo wako wa kifedha kama hujaingia bar ukawanunulia watu pombe au unywe pombe kwa kiasi kikubwa mpaka ulewe.

(2) kila mwanamke hujiona ni wa thamani kubwa sana kwa sababu wao huamini mchimbaji yeyote wa madini akiwa na fedha starehe yake ya kwanza ni kuzini na mwanamke na kulewa pombe.

(3) asilimia kubwa ya vijana na wanawake wanaumwa magonjwa ya zinaa kama kaswende na kisonono japokuwa wengi wao hawajitambui na wakati mwingine wengine hufikia kuizoea hali hiyo ya miwasho sehemu za siri na kutoa uchafu (usaha au majimaji) angalizo ukiwa mkoa wa geita kinga ni muhimu zaidi ya chakula usiende peku.

(4) ni mkoa wenye madini kila sehemu lakini wazawa ni masikini wa kutupwa na wananuka changamoto hata ukipishana nao barabarani na ndio wenye chuki kubwa na wageni wakiamini wageni wanakuja kuwanyang'anya fursa zao, ukiwa mjanjanja kama mwizukulu mgikuru tegemea kupigwa vita kila kona.
hali hiyo ndio wazungu na wawekezaji wanatuona sisi waafrika. tuna kila kitu isipokuwa akili, kujituma na uaminifu kwetu sisi ni ugoi goi kuchelewa na kutojali muda kabisa
 
Unaweza kuniorodhoshea matajiri watano maarufu wazawa?...........mimi nakutajia mmoja mgeni maarufu wambura ...mmiliki wa waja hospital na waja secondary huyu jamaa ni mkurya.....
Unajua maana ya 90% ? Lakn sasa wewe unaangalia mmoja tajiri mkubwa then unarudi Kusema et wazawa maskini elewa kuna matajiri maarufu na wengine wame mute so kigezo cha wambura kinatosha Kusema wazawa wote ni maskn
 
Mimi nimekutajia mmoja maarufu...ili na wewe unitaji mzawa mmoja maarufu ambae ni tajiri........
 
Mbona umesema mabaya Yao tu? Kumbuka kuna mazuri pia.
1. Ni mkoa ambao ukikaribishwa chakula ukakataa kula utakuwa umefanya kosa kubwa sana. Wao bora wasishibe ila wahakikishe wote (mwenye chakula na wewe uliekaribishwa ) mmekula
Kataa vyote ila usikatae kula unapo karibishwa.

2. Hawana time ya kufatilia maisha ya mtu umekula nn au umevaa nini.
3. Ni mkoa ambao unaweza saidiwa na mtu usieye mjua kama vile anakujua.

Mbali na umasikini na uchawi wao ila Bado ni mkoa wenye watu wakarimu zaidi
 
[emoji23] tupo kanda ya ziwa yani kuna mradi wa bomba la mafuta lakini cha kushangaza hakuna hata raia mmoja kujitokeza kwenye ajira.ila wakisikia kuna sehemu gold inapatikana basi vurugu tu kama katoro
 
Back
Top Bottom