ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Una mzaha sana Geita kulikuwa na maghorofa kadhaa ukianza na Posta, NMB bank, Alfpha Hotel, Halimashauri, Infotech plaza, Jimboni Catholic too many to mentionGeita hakuna kiwanja chenye hadhi.....na mji ulikuwa hauna ghorofa la maana toka uhuru..ni juzi tu ndugu yangu mjaruo bwana otonde kawatoa kimasomaso kwa kuwajengea otonde plaza[emoji16][emoji16]...kama nasema uongo kataa
Naona umegundua negativity tu ila positive side hujaona hata Moja la huo mkoa yawekana tatizo nini wewe mwenyewe na aina ya watu wanaokuzungukaNa haya ni mambo machache niliyoyaona na kujifunza nilipokuwa mkoani Geita.
(1) watu hawawezi kuutambua utajiri wako au kuuthamini uwezo wako wa kifedha kama hujaingia bar ukawanunulia watu pombe au unywe pombe kwa kiasi kikubwa mpaka ulewe.
(2) kila mwanamke hujiona ni wa thamani kubwa sana kwa sababu wao huamini mchimbaji yeyote wa madini akiwa na fedha starehe yake ya kwanza ni kuzini na mwanamke na kulewa pombe.
(3) asilimia kubwa ya vijana na wanawake wanaumwa magonjwa ya zinaa kama kaswende na kisonono japokuwa wengi wao hawajitambui na wakati mwingine wengine hufikia kuizoea hali hiyo ya miwasho sehemu za siri na kutoa uchafu (usaha au majimaji) angalizo ukiwa mkoa wa geita kinga ni muhimu zaidi ya chakula usiende peku.
(4) ni mkoa wenye madini kila sehemu lakini wazawa ni masikini wa kutupwa na wananuka changamoto hata ukipishana nao barabarani na ndio wenye chuki kubwa na wageni wakiamini wageni wanakuja kuwanyang'anya fursa zao, ukiwa mjanjanja kama mwizukulu mgikuru tegemea kupigwa vita kila kona.
Kama kuanzia Manyoni mpaka leo watu wanaishi nyumba za nyasiIssue ya umaskini ni tatizo la Nchi nzima hilo, kuna baadhi ya maeneo ukipita unaweza kulia ukisikia kiongozi anasimana jukwaani anasema umaskini umepungua na pato la Mtz limekua.
Nimeanza na negativity......kesho nakuletea positivity..Naona umegundua negativity tu ila positive side hujaona hata Moja la huo mkoa yawekana tatizo nini wewe mwenyewe na aina ya watu wanaokuzunguka
Unaweza kuniorodhoshea matajiri watano maarufu wazawa?...........mimi nakutajia mmoja mgeni maarufu wambura ...mmiliki wa waja hospital na waja secondary huyu jamaa ni mkurya.....Ukisema ni maskini ni uongo asilimia ya matajiri wa huko ni 90 wasukuma sasa hapo wageni kiaje. Angalia machmbo yote ya dhahabu yaliyo kanda ya ziwa then angalia matajiri wa eneo hilo huwa ni 90% wasukuma so kama una Yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Tabata si iko Jijini.Geita mjini kabisa yaani mjini panazidiwa hata na kata ya Tabata
Lakini tabata ni kata na geita ni mkoa,ile stand ya mkoa geita inazidiwa na stend ya daladalaSasa Tabata si iko Jijini.
kwani hata stendi ya manispaa ya bukoba si inazidiwa na stendi ya tabataLakini tabata ni kata na geita ni mkoa,ile stand ya mkoa geita inazidiwa na stend ya daladala
Bukoba nimefika angalau wana tujighorofa kinachowaangusha ni stendi tu sasa geita kuna lile ghorofa jipya sijui linsitwa atonde sijui karibu na standi ndio lina hadhikwani hata stendi ya manispaa ya bukoba si inazidiwa na stendi ya tabata
Wasukuma ukiwa mgeni na una shida ni wakarimu sana, lakini ukiwa ni mgeni (sio mzawa) na ukafanikiwa ni watu wabaya sanaUkiiweka Geita kwenye kundi la masikini, siku ukifika Lindi utakufwaaa!
Wasukuma shida yao inafahamika ni moja tu, ushamba. Ila mengine umewasingizia. Hakuna sehemu yenye watu wakarimu na wachapakazi kama huko usukumani.
Ukishindwa kuelewana na wasukuma, hakuna utakaeweza kuelewana nae!
Nchi yetu ukiambiwa ni Dunia ya tatu na umekulia Upanga,Osterbay, Mikocheni au Masaki huwezi kuelewa kabisa, tembea vijijini na nje miji uone elf 1000 ilivyo na thamani kubwaKama kuanzia Manyoni mpaka leo watu wanaishi nyumba za nyasi
hali hiyo ndio wazungu na wawekezaji wanatuona sisi waafrika. tuna kila kitu isipokuwa akili, kujituma na uaminifu kwetu sisi ni ugoi goi kuchelewa na kutojali muda kabisaNa haya ni mambo machache niliyoyaona na kujifunza nilipokuwa mkoani Geita.
(1) watu hawawezi kuutambua utajiri wako au kuuthamini uwezo wako wa kifedha kama hujaingia bar ukawanunulia watu pombe au unywe pombe kwa kiasi kikubwa mpaka ulewe.
(2) kila mwanamke hujiona ni wa thamani kubwa sana kwa sababu wao huamini mchimbaji yeyote wa madini akiwa na fedha starehe yake ya kwanza ni kuzini na mwanamke na kulewa pombe.
(3) asilimia kubwa ya vijana na wanawake wanaumwa magonjwa ya zinaa kama kaswende na kisonono japokuwa wengi wao hawajitambui na wakati mwingine wengine hufikia kuizoea hali hiyo ya miwasho sehemu za siri na kutoa uchafu (usaha au majimaji) angalizo ukiwa mkoa wa geita kinga ni muhimu zaidi ya chakula usiende peku.
(4) ni mkoa wenye madini kila sehemu lakini wazawa ni masikini wa kutupwa na wananuka changamoto hata ukipishana nao barabarani na ndio wenye chuki kubwa na wageni wakiamini wageni wanakuja kuwanyang'anya fursa zao, ukiwa mjanjanja kama mwizukulu mgikuru tegemea kupigwa vita kila kona.
Unajua maana ya 90% ? Lakn sasa wewe unaangalia mmoja tajiri mkubwa then unarudi Kusema et wazawa maskini elewa kuna matajiri maarufu na wengine wame mute so kigezo cha wambura kinatosha Kusema wazawa wote ni masknUnaweza kuniorodhoshea matajiri watano maarufu wazawa?...........mimi nakutajia mmoja mgeni maarufu wambura ...mmiliki wa waja hospital na waja secondary huyu jamaa ni mkurya.....
Mimi nimekutajia mmoja maarufu...ili na wewe unitaji mzawa mmoja maarufu ambae ni tajiri........Unajua maana ya 90% ? Lakn sasa wewe unaangalia mmoja tajiri mkubwa then unarudi Kusema et wazawa maskini elewa kuna matajiri maarufu na wengine wame mute so kigezo cha wambura kinatosha Kusema wazawa wote ni maskn