Mambo machache niliyoyaona mkoa wa Geita

Hayo magonjwa yanaletwa mjini na wanawake wanaoenda kujiuza uko visiwani kunakovuliwa samaki na dagaa.Kuna visiwa vinaitwa Ikuza na meisome kuna visonono vyakutosha.
Ukimwi je ? Au ndio upo chini ila magonjwa ya zinaa yapo juu ?
 
Sehemu wanazo patikana san madini dhahabu Hali ya umasikini Ni wa kiwango Cha juu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…