Mambo madogo yanayoweza vunja uhusiano

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
MAMBO MADOGO YAVUNJAYO NDOA.

1. Ulevi
2. Umbea
3. Pedi chafu kutupa uvunguni
4. Umaskini
5. Uvivu
6. Ulafi
7. Wizi
8. Kujamba mbele ya mpenzi wako
9. Kunya (kujisaidia) bila kufunga mlango (self room)
10. Ubahili
11. Kunuka ....(boxer)
12. Kunuka kwapa
13. Kuacha manywele kwenye chanuo la mume
14. Ubishi
15. Uongo
16. Uzururaji
17. Upagani
18. Kuchati kupita kiasi.
19. Uvaaji wa kihuni
20. Ushabiki wa mpira ulopitiliza
21. Kukaakaa uchi pasipo sababu
22. Kutokujali
23. Pafyumu mbaya
24. Msongamano wa watu kuliko ukubwa wa nyumba.
25. Gubu
26. Ushamba ulopitiliza
27. Majibu ya mkato
28. Ubize usio na maana
29. Umaarufu wa kijinga
30. Kusifia watu wengine.
31.Kujisikia kupita kiasi.
32. Uongeaji mwingi bila kikomo.
33. Uchafu wa mwili na mazingira.
34. Kusafirisafiri bila umuhimu.
35.Kushindwa kuzingatia bajeti.

[emoji767]KIOKOTE (NIMEOKOTA MAHALI HIYO)
 
Mmh!hakuna anayeweza yote timilifu.
 
8. Kujamba mbele ya mpenzi wako
9. Kunya (kujisaidia) bila kufunga mlango (self room)
11. Kunuka ....(boxer)
12. Kunuka kwapa
19. Uvaaji wa kihuni
33. Uchafu wa mwili na mazingira.
23. Pafyumu mbaya
29. Umaarufu wa kijinga
Nahisi izo nyingine naeza vumilia ila c tabia hiz
 
Sio vyote kwa mtu mmoja, bali kwa watu tofauti tofauti. Kwa mfano mimi mwanamke uweke ped iliyo tumika uvunguni naweza kukuacha aiseee
 
Fikra gani umetumia kuona
Umaskini, wizi, uongo, ubishi na upagani kuwa ni mambo madogo?

Makubwa ni yapi?
 
Nahisi izo nyingine naeza vumilia ila c tabia hiz
Jamani mie ako mbunge ni maarufu jimboni kwangu ila kwa sababu hupendi siasa unaona ni umaarufu wa kijinga.

Kama haitoshi Dr wa kina mama pekee wilayani.ke wananijua kwako unaona ni ujinga mweee!!!

Bora uende tu kwa kweli!!
Ila km nimekupenda nakuroga tu!! Ukilazimisha nang'oa kizazi kibingwa.utarudi tu kuwa mke wa pili tasa ndo raha yangu.

Mie nikupende halafu uniletee ujinga eti oooh! Maarufu wa kijinga mweee!! Subiri...nakuroga jini kiuno halina dawa utazunguka weee hutazaa!!

Walah!! Utajamba kifukuto nakwambia usicheze na hisia za mapenzi wewe!! Au bado mtoto. Nini??!!
 
Duu mbona kama ni hivyo mahusiano hayapo dunia nzima
 
Nitaweza vyote ila kwenye kujamba. samahani we yani niinuke kisa? inaua?
 
Taifa linapigana na umaskini toka tumepata uhuru wewe unasema umaskini ni Jambo dogo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…