Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Kila kona mtu hauponi.👇
Ungebeti mechi 10 tu, tamaa mbayaKila kona mtu hauponi.👇
Machozi ya samakiLia machozi
Utajuaje?Ungebeti mechi 10 tu
Idadi u inapokuwa nyingi chance ya kupoteza ni kubwa, n vice versa ikiwa idadi ndogoUtajuaje?
Kweli. Lakini 11 kwa goli mbili ni chache. WapĂşuzi hao hawajafungana.Idadi u inapokuwa nyingi chance ya kupoteza ni kubwa, n vice versa ikiwa idadi ndogo
Mbona ndizo alizobetiUngebeti mechi 10 tu, tamaa mbaya
Sio kweli.Ukitaka kushuhudia shetani yupo kazini endelea kubet. Hata ungebeti mechi mbili bado moja ingechana
Ahaaaa acha zako.Weka namba nikupe ganji