Mambo makuu matano (5) yanayoumiza roho na kukatisha tamaa katika ligi yetu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Haya ni mambo 5 yanayoniumiza sana Roho

1. Kucheza ligi ambayo mpinzani wa jadi ni Yanga. Hii ni kudhalilisha team ya Simba.

2. Simba kucheza dakika 90 kama team nyingine.hii si haki.sisi tunalipia kuangalia soka angalau mechi za Simba ziwe dakika 180 tufurahie mpira.

3. Kuwa na kiingilio cha chini mechi za Simba.hapa.Serikali iangalie. Mechi za Simba kiingilio cha chini kiwe Tsh 50,000 ikatwe VAT pia kuongezea pato la nchi.

4. Naumia napoona wachezaji wa Simba wanashindana na team hizi hizi kwenye Ligi. Siyo Fair, Simba wangeanzishiwa ligi yao ya pekee na team level yake.

5. Uanzishwe utaratibu Simba ikitoa draw na Yanga. Yanga wapewe point 3 na magoli yasiyopungua matatu.
 
Mbumbumbu wakiwa kwenye ubora wao utasikia kila aina ya dhihaka.
 
Msimtukane mkunga ingali uzaz ungalipo

kilicho akilini kitumie
 
Dah sijawahi ona pumba kama hiz jf kama za leo japo mi sio fan wa mpira wa simba na yanga
 
Back
Top Bottom