Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Haya ni mambo 5 yanayoniumiza sana Roho
1. Kucheza ligi ambayo mpinzani wa jadi ni Yanga. Hii ni kudhalilisha team ya Simba.
2. Simba kucheza dakika 90 kama team nyingine.hii si haki.sisi tunalipia kuangalia soka angalau mechi za Simba ziwe dakika 180 tufurahie mpira.
3. Kuwa na kiingilio cha chini mechi za Simba.hapa.Serikali iangalie. Mechi za Simba kiingilio cha chini kiwe Tsh 50,000 ikatwe VAT pia kuongezea pato la nchi.
4. Naumia napoona wachezaji wa Simba wanashindana na team hizi hizi kwenye Ligi. Siyo Fair, Simba wangeanzishiwa ligi yao ya pekee na team level yake.
5. Uanzishwe utaratibu Simba ikitoa draw na Yanga. Yanga wapewe point 3 na magoli yasiyopungua matatu.