Uzi huu ni maalumu kabisa kwa wale wenye msongo wa mawazo ambao njia zao za kuutoa ni kwa matusi au lugha yoyote ya kejeli.
Pitia sasa haya mambo matano upate kutoa stress a.k.a povu a.k.a msongo wa mawazo;
A). Mwanaume asiye na akili hawezi kuishi na mwanamke, ni ujinga wake huyo mwanaume ndio uliopelekea akashindwa kuishi naye.
B). Nyuzi nyepesi nyepesi hapa jf zinachangiwa na wanawake kwa wingi, na nyuzi hizo huandikwa na wanaume wasio na akili ambao wameshindwa kuishi na wapenzi wao.
C). Bora mwanamke mjinga mtii kwa mumewe kuliko mwanamke msomi mlevi. NB; ukiwa mwanamke mlevi lazima uwe mjinga tu na hutomwofu mumeo.
D). Watanzania wajinga ni wale wasioona mazuri yanayofanywa na Mh Rais JPM kipenzi cha wengi, wao wamejaa ujinga wanaojaribu kuutoa kwa kupinga kila kitu.
E). Ukitaka upate idadi ya wajinga humu jf, basi hesabu watukanaji walio**publish** matusi/ujinga wao kwenye nyuzi za jf.
**RUKSA SASA KUTOA MAPOVU/MATUSI/STRESS, HII ITAKUSAIDIA KUKUWEKA KAWAIDA USIJE UKAJIUA/UKAJI-KABARI**
NISISAHAU ::: NYUMBA ZA IBADA SIO MUHIMU KWA WENYE HIZO STRESS,,, NDIO MAANA WAMEJAA LUGHA CHAFU.