Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka na huu uzi nao ni UJIIIUzi huu ni maalumu kabisa kwa wale wenye msongo wa mawazo ambao njia zao za kuutoa ni kwa matusi au lugha yoyote ya kejeli.
Pitia sasa haya mambo matano upate kutoa stress a.k.a povu a.k.a msongo wa mawazo;
A). Mwanaume asiye na akili hawezi kuishi na mwanamke, ni ujinga wake huyo mwanaume ndio uliopelekea akashindwa kuishi naye.
B). Nyuzi nyepesi nyepesi hapa jf zinachangiwa na wanawake kwa wingi, na nyuzi hizo huandikwa na wanaume wasio na akili ambao wameshindwa kuishi na wapenzi wao.
C). Bora mwanamke mjinga mtii kwa mumewe kuliko mwanamke msomi mlevi. NB; ukiwa mwanamke mlevi lazima uwe mjinga tu na hutomwofu mumeo.
D). Watanzania wajinga ni wale wasioona mazuri yanayofanywa na Mh Rais JPM kipenzi cha wengi, wao wamejaa ujinga wanaojaribu kuutoa kwa kupinga kila kitu.
E). Ukitaka upate idadi ya wajinga humu jf, basi hesabu watukanaji walio**publish** matusi/ujinga wao kwenye nyuzi za jf.
**RUKSA SASA KUTOA MAPOVU/MATUSI/STRESS, HII ITAKUSAIDIA KUKUWEKA KAWAIDA USIJE UKAJIUA/UKAJI-KABARI**
NISISAHAU ::: NYUMBA ZA IBADA SIO MUHIMU KWA WENYE HIZO STRESS,,, NDIO MAANA WAMEJAA LUGHA CHAFU.
haha hahaaHizi ndio Akili za macivil engineer wa Tz yetu acha maghorofa yetu yawe na expansion joint ya mshazari hakuna namna.
hata kulala hakulala huyuJamaa kapost saa kumi na mbili kamili asubuhi. Atakuwa na stress tu naye
Karibu sana yna12, hapa ndio uwanja wa ma-foamNimeagiza pakti tano za omo..NITAKURUDIA
Huwa naamka saa kumi na nusu, najisomea vitabu hadi kumi na moja na nusu....si sheria ni mazoea...karibu.hata kulala hakulala huyu
cheersHuwa naamka saa kumi na nusu, najisomea vitabu hadi kumi na moja na nusu....si sheria ni mazoea...karibu.
Thank you!.cheers
DuuhhhhNimeagiza pakti tano za omo..NITAKURUDIA
Ukweli mchungu sana huuMwanamke mlevi ?????? Shortly huliwa na kila mchwa !!
Na vichuguu vyao malikia wao huwa juu juu ...................[emoji53]