Mambo makuu matatu Waafrika tusiyoyajua✔

Mambo makuu matatu Waafrika tusiyoyajua✔

1: Mapenzi ya Nchi (Uzalendo)

2: Busara katika kuongoza (Uongozi bora)

3: Kujali na kuheshimu katiba iliyopo (Utii kwa wananchi)
Aisee, mwenzetu sio Mwafrika!... [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hayo mambo matatu ni

1: Malnutrition. Waafrica tunaangalia quantity na sio quality.

2: Focus. Waafrica focus yetu ni ndogo, lolote linalotokea mbele twende tu. Ndio maana wazungu walisema no hurry in Africa

3: la tatu na me nimesahau..... anaekumbuka aweke
 
1. Ukila na kipofu usimshike mkono.
2. Aliyelala usimwamshe.
3.Asiyejua maana haambiwi maana.
4. Wagawanye ili uwatawale...



Cc: mahondaw
 
KUNA BABA M1 WAKATI ANAJAZA FOMU
ALIFIKA AANDIKE KAMA YEYE WA JINSIA GANI
HAKUJAZA KWAN ALISAHAU
AKAJAZA MENGINE
MWISHON NDIPO AKAGUNDUA HAJAJAZA JINSIA YAKE,AKATAKA MUULIZA MTU,AKAONA AIBU,AKAENDA CHOON AKAJICHUNGULIA,AKATOKA AMEFURA,AKAMWONA JAMAA,AKAMUULIZA
"HIVI JAMII YA MKIA N JINSIA GAN?
 
Back
Top Bottom