Mambo makuu sita yanayonifanya kuichagua bar kuwa yakudumu

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Wkend ndio hiyoo wanywaji wenzangu tusogee maeneo yetu ya kujidai,
Haya ni baadhi ya mambo tu yanayofanya kuichagua bar yangu ya kudumu

1.socket kwa ajili ya kuchajia simu, wanywaji wenzangu mnajua tifu la mama yeyoo akikusa hewani haswa akijua kabisa ni wkend.

2. Daftari la wateja wakudumu(maalwatan)[emoji23][emoji23], hili daftari muhimu sana haswa kwa awamu hii ya tano

3. Pooltable...asikwambie mtu pombe zikishaanza kukolea ukienda kugonga game mbili unakuja kuanza upya kabisa

4.wahudumu wanaojua kucheza mziki na wenye chura..Hii ni burudani inayotuvutia wateja wengi

5.jiko la kiti na supu....hiz ni kwa ajili yakutolea loki,mda mwingine haya mapombe yanakwangua utumbo inabidi upate chochote kitu

6. Dstv..bar yako kama haina hii huduma ushanikosa kabisa

Naomba kuwakilisha ndugu wajumbe
IMG_20190816_183706_8.jpeg
 
Naomba kuwakilisha ndugu wajumbeView attachment 1182998
Mm Wahudumu wenye Chura Ndio Wanaonivutia.
 
Back
Top Bottom