Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walionitangulia washatumikia serikalini vya kutosha.jamaa si anamwagika anaingia mwingine kupokea kijiti
Pata kitu roho inataka, hata kama kinafupisha maisha.Mimi nina week,leo sijui kama nitanusurika.Mniombee
Naongezea vyangu sasaWkend ndio hiyoo wanywaji wenzangu tusogee maeneo yetu ya kujidai,
Haya ni baadhi ya mambo tu yanayofanya kuichagua bar yangu ya kudumu
1.socket kwa ajili ya kuchajia simu, wanywaji wenzangu mnajua tifu la mama yeyoo akikusa hewani haswa akijua kabisa ni wkend.
2. Daftari la wateja wakudumu(maalwatan)[emoji23][emoji23], hili daftari muhimu sana haswa kwa awamu hii ya tano
3. Pooltable...asikwambie mtu pombe zikishaanza kukolea ukienda kugonga game mbili unakuja kuanza upya kabisa
4.wahudumu wanaojua kucheza mziki na wenye chura..Hii ni burudani inayotuvutia wateja wengi
5.jiko la kiti na supu....hiz ni kwa ajili yakutolea loki,mda mwingine haya mapombe yanakwangua utumbo inabidi upate chochote kitu
6. Dstv..bar yako kama haina hii huduma ushanikosa kabisa
Naomba kuwakilisha ndugu wajumbeView attachment 1182998
Nini kilikuachisha? Maana kwa kawaida, kama si kulala mitaroni, au daktari asiposema kuwa utakufa usipoacha, NI NGUMU SANAKwangu ni mwaka wa 18
Yaani nisikilize huo mwaka wa 18 wenyewe nlionjeshwa tu na mshikaji wangu ila siwezi kunywa pombe mimiNini kilikuachisha? Maana kwa kawaida, kama si kulala mitaroni, au daktari asiposema kuwa utakufa usipoacha, NI NGUMU SANA
Temboni eneo gani mkuu? panaitwaje hilo eneo?