Mambo makuu sita yanayonifanya kuichagua bar kuwa yakudumu

Namba 4, 5 na 6 zikiwa poa inapendeza zaidi.
Hasa namba 4 ikiboreshwa napenda zaidi
 
Mimi nina week,leo sijui kama nitanusurika.Mniombee
Pata kitu roho inataka, hata kama kinafupisha maisha.

Maisha yenyewe mafupi.

Mimi napenda kuwa in control kwa hivyo nikiishinda tamaa ya kulewa huo ndio ulevi wangu.
 
Naongezea vyangu sasa
1. Jirani kuwe na sehemu unaweza OSHA gari
2. Kuwe na mpiga kiwi viatu
3. Parking
 
Nini kilikuachisha? Maana kwa kawaida, kama si kulala mitaroni, au daktari asiposema kuwa utakufa usipoacha, NI NGUMU SANA
Yaani nisikilize huo mwaka wa 18 wenyewe nlionjeshwa tu na mshikaji wangu ila siwezi kunywa pombe mimi

Amini siwezi na sitokuja
 
Mi sehemu ikiwa na yafuatayo lazima nitarudi
1.Music mkubwa ya makelele flani hivi halafu dj apige nyimbo flni admu
2.Wahudumu wazuri wawe na mikia ya kondoo
3.Nisiombwe hela kabla ya kuhusumiwa yaani ile tabia ya kuagiza halafu muhudumu anasema lete hela kwanza inanikera sana
4.Kuwe na show za akina dada wenye mikia flani ya mbweha
5.Pawe na car wash
6.Pawe na watu wengi na wadada wa chuo wanaotega tega
7.Watu wakilewa wacheze hadhalani.
 
Ukikosa Temboni Kimara njoo hadi Kibamda cha mkaa kulekea daraja la mbao yupo jamaa anachoma kutumia kuni na kurost sema anatumia mawese kwenye rost omba kavu tu nusu buku 4 humalizi
Temboni eneo gani mkuu? panaitwaje hilo eneo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…