Mambo Makuu Yatakayomshangaza Sana Babu Seya

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wakuu
Yafuatayo ni mambo makuu ambayo naamini kabisa yatamshangaza sana kama sio kumshtua Babu Seya atakapotoka Jela.
(1) Mh Freemen Mbowe bado ni Mwenyekiti wa Chadema
(2) JPM "kutekeleza" ajenda zote kuu za Chadema.
(3) Mazishi ya kitaifa ya kamanda mbwa yakiogozwa na Wabunge wawili.
(4) Marufuku ya kutamka neno Ufisadi Chadema
(5) Kila Mbunge wa Upinzani kufuatiliwa na Nissan nyeupe
(6)Wabunge wanaoenda CCM kununuliwa lakini wanaoenda upinzani wanajitoa kwa hiari yao
(7)CCM kuiba kura uchaguzi wa madiwani na kushinda kata 42 kati ya 43
Karibuni tuendelee
 
Baba seya mgogoro wake unaanzia huko kwao Congo, wala hakuna uhusiano na suala la ubakaji

kwa lugha nyingine jamaa alikuwa political prisoner, hizo nyingine ni porojo tu.

Issue ya kulawiti ilikuwa ni kum blackmail tu.
 
Wanaume wa daresalaam wametepweta wakiongozwa na rais wa mkoa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…