[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]HAKUNA KITU ATASHANGAA KAMA (TATU MZUKA MA BIKK SPORT)
Uko huru kusema utakalo mkuu lakini kwa hili Si vyema kuingiza siasa. Rais ana mamlaka na ametenda inavyostahili. Hata sisi ambao sio wanasiasa pia tumefurahishwa Na hili