Mambo Makuu Yatakayomshangaza Sana Babu Seya

Mambo Makuu Yatakayomshangaza Sana Babu Seya

Atashangaa na bado haamini..

'..mbakaji kuachiwa huru,ilhali mwanafunzi anayebakwa nakupata mimba akifukuzwa shule mazima..'
 
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]HAKUNA KITU ATASHANGAA KAMA (TATU MZUKA MA BIKK SPORT)


IN SHORT "AKUNA RANGI ATAACHA ONA"
 
Uko huru kusema utakalo mkuu lakini kwa hili Si vyema kuingiza siasa. Rais ana mamlaka na ametenda inavyostahili. Hata sisi ambao sio wanasiasa pia tumefurahishwa Na hili
 
Atashangaa sana mambo ya Mitandao, maana wakati wake watu wengi walikuwa na Nokia za tochi tu.
 
watu wasiojulikana waongezeka, ............
waabdishi wa habari na Raia kupotea hasa huko Kibiti...........
saa 8 hajulikani alipo..............
 
Back
Top Bottom