Mambo Makuu Yatakayomshangaza Sana Babu Seya

Watu wengine kila kitu ni unafki,unajiona hpa umeandik bonge ya post ,ungekua wew ungeshangazwa na upuuz kama huo uloandika? Jarb kutumia akili zako mana hizi ulizoandkia hapa umekod mvuuuuu
 
Haya yooooote yatamshangaza kama tu huko jela mlimsomesha Engineering kiasi awe anafahamu Expansion Joints in details
 
[1]Istagram
2)Jamiiforums
3)Facebook
4)akienda atakuta dar imebadilika sana
 
Baba seya mgogoro wake unaanzia huko kwao Congo, wala hakuna uhusiano na suala la ubakaji

kwa lugha nyingine jamaa alikuwa political prisoner, hizo nyingine ni porojo tu.

Issue ya kulawiti ilikuwa ni kum blackmail tu.
Mgogoro Kongo ,hakimu Lyamuya are hukumu ya ya ulawiti,acha masihara bana
 
Atashangaa kukuta msanii ataempa challenge ni Diamond
 
Mwendokasi
Bombardier
Udom
The rise of Chibu maana alimuacha Tandale na anamkuta Madale na safari za Miami kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…