Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hii atashangaa zaidiAliingia ndani Sumaye akiwa Waziri Mkuu katoka ni mwnykt wa Chadema Kibaha
Haya yooooote yatamshangaza kama tu huko jela mlimsomesha Engineering kiasi awe anafahamu Expansion Joints in detailsWakuu
Yafuatayo ni mambo makuu ambayo naamini kabisa yatamshangaza sana kama sio kumshtua Babu Seya atakapotoka Jela.
(1) Mh Freemen Mbowe bado ni Mwenyekiti wa Chadema
(2) JPM "kutekeleza" ajenda zote kuu za Chadema.
(3) Mazishi ya kitaifa ya kamanda mbwa yakiogozwa na Wabunge wawili.
(4) Marufuku ya kutamka neno Ufisadi Chadema
(5) Kila Mbunge wa Upinzani kufuatiliwa na Nissan nyeupe
(6)Wabunge wanaoenda CCM kununuliwa lakini wanaoenda upinzani wanajitoa kwa hiari yao
(7)CCM kuiba kura uchaguzi wa madiwani na kushinda kata 42 kati ya 43
Karibuni tuendelee
Mgogoro Kongo ,hakimu Lyamuya are hukumu ya ya ulawiti,acha masihara banaBaba seya mgogoro wake unaanzia huko kwao Congo, wala hakuna uhusiano na suala la ubakaji
kwa lugha nyingine jamaa alikuwa political prisoner, hizo nyingine ni porojo tu.
Issue ya kulawiti ilikuwa ni kum blackmail tu.
Ndio maana avatar yako inatoa machozi kazi kumng'ang'ania Dj Makengeza kama anavyong'ang'ania uenyekiti.Hili ndio uliloona la kuanza nalo?