Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Hiyo namba moja na mbili ni kweli kabisa,mwanga mkali wa simu na Television huzuia ubongo kuzalisha MELATONIN ambayo husaidia mtu kupata usingizi.
Ooooh dah kumbe ndiyo maana huwa nikiwa nachezea simu nikiwa kitandani sipati tena usungiziii ....nilikuwa sijui tatizo ni nnHiyo namba moja na mbili ni kweli kabisa,mwanga mkali wa simu na Television huzuia ubongo kuzalisha MELATONIN ambayo husaidia mtu kupata usingizi.
Wataalam wenyewe hawafuatiYani ukifuatilia ushauri wa "wataalamu" utajikuta unaishi kama jini
Nalala na chupa ya maji ya kunywa... Napenda kunywa maji sana hadi kitandani... Mda mwingine nakua na crisps wakati naangalia movie kitandani.Duuih na namba 3 na yenyewe huwa ni muhusika mzur, kwa hiyo we ukitaka kulala tuu unakimbilia kitandani na msahani yAko yamejaa msosi pomon na kuanza kula usingiz ukikupitia misahani mibakuli michafu unalala nayo asubuh ndo unaitoa, kaah hii tabia sio nzur kabisa acha maramoja
Wataalamu wanasema kula chapati haifai kiafya, maandazi sio mazuri kwa afya, mboga za majani zilizokatwakatwa na kuungwa sio nzuri, ugali wa mahindi yaliyokobolewa ni mbaya kwa afya, kunywa maji ya baridi haifai, soda ni mbaya, bia na aina zote za pombe hazifai, na mavitu kede kede, tuna kazi ya ziada
[emoji15] [emoji15] kwahiyo twaafwa mkuu?Hata jamiiforum nayo si nzuri kwa afya
Sasa mbona wamezuia vyakula vyote, ina maana tusile.Wataalamu wanasema kula chapati haifai kiafya, maandazi sio mazuri kwa afya, mboga za majani zilizokatwakatwa na kuungwa sio nzuri, ugali wa mahindi yaliyokobolewa ni mbaya kwa afya, kunywa maji ya baridi haifai, soda ni mbaya, bia na aina zote za pombe hazifai, na mavitu kede kede, tuna kazi ya ziada
Ndio hapo sasaSasa mbona wamezuia vyakula vyote, ina maana tusile.
Pamoko tutakuwa tumeponaAisee mimi nalala huku natumia laptop naona umesema simu nafikiri nitakuwa salama
Hiyo no 2 mi kila siku nafanyaHiyo namba moja na mbili ni kweli kabisa,mwanga mkali wa simu na Television huzuia ubongo kuzalisha MELATONIN ambayo husaidia mtu kupata usingizi.
Hata ukiyafata hayo yote siku yako ya kufa ikifika imefika tu ni lazma ufePaprika
Sio kuchanganyikiwa...utakufa kwa njaa maana kila kitu kinakasoro.
utajikuta kila jambo si jema.