Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Hiyo namba moja na mbili ni kweli kabisa,mwanga mkali wa simu na Television huzuia ubongo kuzalisha MELATONIN ambayo husaidia mtu kupata usingizi.
Simu na TV zina option ya kupunguza mwanga kutoka mwanga mkali hadi giza giza. Na wanaolala bila kuzima taa wanazuia ubongo kuzalisha melatonin pia?