Mambo manne ambayo hupaswi kuyafanya wakati wa kulala..

Unajua hawa tunaowaita wataalamu ndiyo wanaosababisha Sisi tuzidi kuchanganyikiwa. Na mtambue wanayaandika haya ili wapate madaraja ya Elimu zao tu.
Maana ukiangalia vizuri karibia vyakula vyote wanakataza.
 
Unajua hawa tunaowaita wataalamu ndiyo wanaosababisha Sisi tuzidi kuchanganyikiwa. Na mtambue wanayaandika haya ili wapate madaraja ya Elimu zao tu.
Maana ukiangalia vizuri karibia vyakula vyote wanakataza.
Exactly
 
Aisee mimi nalala huku natumia laptop naona umesema simu nafikiri nitakuwa salama
simu , laptop , tv .....zote hutoa blue light ambayo ndo mbaya sana inapofika suala la macho

auko salama mkuu
 
Umeona ee mara vyakula vya wanga havpasw kuliwa kwa wingi wakati kwa hali halisi ya maisha yetu hayaepukiki
Labda wataalam mnisaidie pia ni vyakula vp ambavy ni cheap& available ambavyo c vy wanga nitumie.
 
Inafurahisha sana...

2 an 3 kweli siyo vizuri... but hizo zingine mimi na mahondaw wangu... tunafanya sana... tena zaidi ya hapo.... we go extra miles, pillow fight, under cover... mengine wacha nikae kimya...

cc: mahondaw

Yani dahhhhhhhhhhh Smart911 wewe ni hatareeeeeeeeeeeeeeee

Ni moto wa kuotea mbaleeeeeeeeeeeeee

nakupendajeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hiyo namba moja na mbili ni kweli kabisa,mwanga mkali wa simu na Television huzuia ubongo kuzalisha MELATONIN ambayo husaidia mtu kupata usingizi.
At least umeenda step moja mbele.
Mtu anapotoa mada zinazohusu utaalam ni vizuri akatoa na details flan ili kumvutia na kumuelimisha
 
Yote nayafanya kila siku. Ila namba 4 mara chache
 
Nalala na chupa ya maji ya kunywa... Napenda kunywa maji sana hadi kitandani... Mda mwingine nakua na crisps wakati naangalia movie kitandani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ngoja nikuletee na mabumunda ushushie
 
Weka madhara yake ni nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…