Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli hata mi siweziPaprika
Sio kuchanganyikiwa...utakufa kwa njaa maana kila kitu kinakasoro.
utajikuta kila jambo si jema.
Unajua hawa tunaowaita wataalamu ndiyo wanaosababisha Sisi tuzidi kuchanganyikiwa. Na mtambue wanayaandika haya ili wapate madaraja ya Elimu zao tu.Wataalamu wanasema kula chapati haifai kiafya, maandazi sio mazuri kwa afya, mboga za majani zilizokatwakatwa na kuungwa sio nzuri, ugali wa mahindi yaliyokobolewa ni mbaya kwa afya, kunywa maji ya baridi haifai, soda ni mbaya, bia na aina zote za pombe hazifai, na mavitu kede kede, tuna kazi ya ziada
ExactlyUnajua hawa tunaowaita wataalamu ndiyo wanaosababisha Sisi tuzidi kuchanganyikiwa. Na mtambue wanayaandika haya ili wapate madaraja ya Elimu zao tu.
Maana ukiangalia vizuri karibia vyakula vyote wanakataza.
simu , laptop , tv .....zote hutoa blue light ambayo ndo mbaya sana inapofika suala la machoAisee mimi nalala huku natumia laptop naona umesema simu nafikiri nitakuwa salama
Umeona ee mara vyakula vya wanga havpasw kuliwa kwa wingi wakati kwa hali halisi ya maisha yetu hayaepukikiWataalamu wanasema kula chapati haifai kiafya, maandazi sio mazuri kwa afya, mboga za majani zilizokatwakatwa na kuungwa sio nzuri, ugali wa mahindi yaliyokobolewa ni mbaya kwa afya, kunywa maji ya baridi haifai, soda ni mbaya, bia na aina zote za pombe hazifai, na mavitu kede kede, tuna kazi ya ziada
simu! simu! simu! ndo maana ndoa hazidumuMe too!
Bila simu mkononi sipati usingizi
At least umeenda step moja mbele.Hiyo namba moja na mbili ni kweli kabisa,mwanga mkali wa simu na Television huzuia ubongo kuzalisha MELATONIN ambayo husaidia mtu kupata usingizi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ngoja nikuletee na mabumunda ushushieNalala na chupa ya maji ya kunywa... Napenda kunywa maji sana hadi kitandani... Mda mwingine nakua na crisps wakati naangalia movie kitandani.
Njoo tuoane utaacha utakuwa unanichezea mmNamba mbili kwangu mimi ni ngumu kuacha
Uuuuh! Sijayala mda mrefu!!! Bumunda ni chakula kizito bana...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ngoja nikuletee na mabumunda ushushie
Weka madhara yake ni nini??MAMBO Manne Ambayo Hupaswi Kuyafanya Wakati wa Kulala..!!!
Wataalam wa afya wamekuwa wakieleza kuwa kulala ni moja ya mambo muhimu kwa afya ya binadam.
Licha wengi kutozingatia umuhimu wa kulala hasa yale masaa 8 ambayo hupendekezwa na wataalam kutokana na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kazi za kila siku.
Sasa leo naomba msomaji wangu nikueleze mambo kadhaa ambayo unaambiwa si mazuri kufanyika wakati unapokuwa kitandani tayari kwa kulala.
1. Hutakiwi kuangalia Tv wakati unapokuwa kitandani tayari kwa ajili ya kulala.
2. Kuchezea simu au kuchat kwenye mitandao mbalimbali wakati unapokuwa kitandani kwa ajili ya kulala.
3. Kula au kunywa wakati upo tayari kitandani nayo si tabia nzuri vinginevyo labda iwe unaumwa na hauna jinsi.
4. Kufanya mazungumzo hasa yale ya hasira wakati unapokuwa kitandani pia si vizuri