Mambo manne ambayo yanaonesha uwezekano wa Mzee kibao kwamba alitekwa na wasiojulikana kwa kushirikiana na CHADEMA

HUMAN ERROR

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2024
Posts
318
Reaction score
627
1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana

View: https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_

2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine

3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul

4.Historia za matukio ya nyuma ya Ben Saanane, Chacha Wange , kuondoka kwa Zitto kabwe na Dr slaa
 
deed5ff644655f7b99ba1ff6559532f0.jpg
 
1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana

View: https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_

2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine

3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul

4.Historia za matukio ya nyuma ya Ben Saanane, Chacha Wange , kuondoka kwa Zitto kabwe na Dr slaa

Lissu amesema kupitia club House kuwa ushahidi mwingine alipewa na mjumbe mkutano mkuu ambaye sasa ni "marehemu "
 
1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana

View: https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_

2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine

3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul

4.Historia za matukio ya nyuma ya Ben Saanane, Chacha Wange , kuondoka kwa Zitto kabwe na Dr slaa

Mnaweza kumshambulia Mbowe na Mkaiacha Chadema bado mkaeleweka, hizo ndio Kampeni za uchaguzi na zinafahamika.

Lakini kuihusisha Chadema na Mauaji ya Mzee Ally Kibao achilia mbali kwamba si kweli lakini pia mnatenda dhambi mbaya sana na ya kijinga iliyojaa makusudi ya bila sababu, Hakika dhambi hii mtailipia
 
Sawa mkuu
 
Akili ndio huna

Bando unalo, simu unayo, uchawa unao ila akili ndio changamoto
 
Lengo la Watesi wa Kibao ilikuwa ataje wanao mpelekea zile siri period
 
Sasa kama lissu anaushahidi tayari na hataki kuutoa anaanza kusingizia marehemu inaleta picha gani?

Uongo na uzandiki tu. Lissu amwage huo ushahidi alionao marehemu wa nini tena. Ndiyo yale yale kwenye kesi yake ya kupigwa risasi tuliwashutumu polisi kama wangekufa wasinge fanya kazi za kipelelezi.?
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Lissu wala hajataja mtu mtumish
 
Mnaweza kumshambulia Mbowe na Mkaiacha Chadema bado mkaeleweka, hizo ndio Kampeni za uchaguzi na zinafahamika.

Lakini kuihusisha Chadema na Mauaji ya Mzee Ally Kibao achilia mbali kwamba si kweli lakini pia mnatenda dhambi mbaya sana na ya kijinga iliyojaa makusudi ya bila sababu, Hakika dhambi hii mtailipia
Acha kutishia watu. Dr Slaa alishaongea kuhusu tabia ya CHADEMA kuteka watu na kusingizia serikali lakini mkaishia kumtukana badala ya kujibu alichosema. Zitto alitamka hadharani kuwa Wangwe alikufa ila sio yeye. Ni suala la muda tu wahusika wote wa uovu ndani ya CHADEMA watajulikana.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom