Mambo manne ambayo yanaonesha uwezekano wa Mzee kibao kwamba alitekwa na wasiojulikana kwa kushirikiana na CHADEMA

Mambo manne ambayo yanaonesha uwezekano wa Mzee kibao kwamba alitekwa na wasiojulikana kwa kushirikiana na CHADEMA

Mnaweza kumshambulia Mbowe na Mkaiacha Chadema bado mkaeleweka, hizo ndio Kampeni za uchaguzi na zinafahamika.

Lakini kuihusisha Chadema na Mauaji ya Mzee Ally Kibao achilia mbali kwamba si kweli lakini pia mnatenda dhambi mbaya sana na ya kijinga iliyojaa makusudi ya bila sababu, Hakika dhambi hii mtailipia
huwezi itenganisha chadema na mbowe
 
Sasa kama lissu anaushahidi tayari na hataki kuutoa anaanza kusingizia marehemu inaleta picha gani?

Uongo na uzandiki tu. Lissu amwage huo ushahidi alionao marehemu wa nini tena. Ndiyo yale yale kwenye kesi yake ya kupigwa risasi tuliwashutumu polisi kama wangekufa wasinge fanya kazi za kipelelezi.?
Maneno yote haya ya ramli chonganishi hutokana na tatizo la msingi la kutowajibika ipasavyo kwa vyombo vya dola (usalama) au ukosefu wa utashi wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom