Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
huwezi itenganisha chadema na mboweMnaweza kumshambulia Mbowe na Mkaiacha Chadema bado mkaeleweka, hizo ndio Kampeni za uchaguzi na zinafahamika.
Lakini kuihusisha Chadema na Mauaji ya Mzee Ally Kibao achilia mbali kwamba si kweli lakini pia mnatenda dhambi mbaya sana na ya kijinga iliyojaa makusudi ya bila sababu, Hakika dhambi hii mtailipia