HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Lissu amesema kupitia club House kuwa ushahidi mwingine alipewa na mjumbe mkutano mkuu ambaye sasa ni "marehemu "1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana
View: https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_
2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine
3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul
4.Historia za matukio ya nyuma ya Ben Saanane, Chacha Wange , kuondoka kwa Zitto kabwe na Dr slaa
Wewe utakuwa una UKOMA KWENYE UBONGO......1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana
View: https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_
2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine
3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul
4.Historia za matukio ya nyuma ya Ben Saanane, Chacha Wange , kuondoka kwa Zitto kabwe na Dr slaa
Mnaweza kumshambulia Mbowe na Mkaiacha Chadema bado mkaeleweka, hizo ndio Kampeni za uchaguzi na zinafahamika.1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana
View: https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_
2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine
3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul
4.Historia za matukio ya nyuma ya Ben Saanane, Chacha Wange , kuondoka kwa Zitto kabwe na Dr slaa
Wazee Kama Hawa wakiingia nyumbani mpaka mende wanakuwa na taharifa mwenye mji kafika!
Sawa mkuuMnaweza kumshambulia Mbowe na Mkaiacha Chadema bado mkaeleweka, hizo ndio Kampeni za uchaguzi na zinafahamika.
Lakini kuihusisha Chadema na Mauaji ya Mzee Ally Kibao achilia mbali kwamba si kweli lakini pia mnatenda dhambi mbaya sana na ya kijinga iliyojaa makusudi ya bila sababu, Hakika dhambi hii mtailipia
Naona sasa kila mpumbavu anajitokeza Tu na kuandika upumbavu wowote ule.1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana
View: https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_
2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine
3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul
4.Historia za matukio ya nyuma ya Ben Saanane, Chacha Wange , kuondoka kwa Zitto kabwe na Dr slaa
Lissu wala hajataja mtu mtumishSasa kama lissu anaushahidi tayari na hataki kuutoa anaanza kusingizia marehemu inaleta picha gani?
Uongo na uzandiki tu. Lissu amwage huo ushahidi alionao marehemu wa nini tena. Ndiyo yale yale kwenye kesi yake ya kupigwa risasi tuliwashutumu polisi kama wangekufa wasinge fanya kazi za kipelelezi.?
Acha kutishia watu. Dr Slaa alishaongea kuhusu tabia ya CHADEMA kuteka watu na kusingizia serikali lakini mkaishia kumtukana badala ya kujibu alichosema. Zitto alitamka hadharani kuwa Wangwe alikufa ila sio yeye. Ni suala la muda tu wahusika wote wa uovu ndani ya CHADEMA watajulikana.Mnaweza kumshambulia Mbowe na Mkaiacha Chadema bado mkaeleweka, hizo ndio Kampeni za uchaguzi na zinafahamika.
Lakini kuihusisha Chadema na Mauaji ya Mzee Ally Kibao achilia mbali kwamba si kweli lakini pia mnatenda dhambi mbaya sana na ya kijinga iliyojaa makusudi ya bila sababu, Hakika dhambi hii mtailipia
Mbona hamtaji jina sasa?Lissu amesema kupitia club House kuwa ushahidi mwingine alipewa na mjumbe mkutano mkuu ambaye sasa ni "marehemu "
Huyo marehemu aliyempa ushahidi bila shaka ni mtu. Wao walipuane tu ijulikane moja. Sio kuleta makelele ya kisiasaLissu wala hajataja mtu mtumish