Mambo manne yaliyoafikiwa kwenye kikao cha dharura kuhusu kusudio la Manji kujitoa Yanga

Mambo manne yaliyoafikiwa kwenye kikao cha dharura kuhusu kusudio la Manji kujitoa Yanga

Mzee anajua kuroga uyo khaaaa leo aliwaambia kuwa kama mkitoka salama na azam bas yeye anahama nchi. ..na kweli bwana leo wakimataifa wamechezea kipigo
 
Piga ua, Yanga watamkumbuka na watakuja kumshika mguu huyu mzee, Wajue kwamba huyu mzee hajalibiwi na ndo anayejua Yanga imefichwa wapi, hata manji mwenyewe anamgwaya huyu mzee.
 
Mzee Akikimaki yuko sahihi, nadhani hao jamaa wanamwangakia huyo MZEE kwa Mashaka.

Yanga waache uvivu wa kufikiri hata wakimfukuza bado tuko wengi tutahoji.
 
Back
Top Bottom