Na Leo yanga mmechapwa japo mlionngoza mbili buyu hizo zote ni laana za Huyu Mzee wakati ukiangali aliongea ukweliHuyu mzee alishadadia tukapigwa mkono na Simba
Kwani Yanga KAFUNGWA, au katoa suluhu?Na Leo yanga mmechapwa japo mlionngoza mbili buyu hizo zote ni laana za Huyu Mzee wakati ukiangali aliongea ukweli
Kafungwa magoli 6 kwa magoli 3Kwani Yanga KAFUNGWA, au katoa suluhu?
Kuwa mwanamichezo ni kipawa.kauli hii haijakaa kiuanamichezo.Ime jaa chukisafi sana huyu bundi nilimsubiri kwa muda mrefu sana, hopefully atakuwaa ameshaFYATUA makinda kabsaaa!