Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Tatizo kubwa la TFF ni kuajiri makocha wa bei nafuu miaka nenda!! Mfano huyo Amrouche, hata sijui ana tija gani kwenye timu mpaka sasa. Yale yale ya akina Emmanuel Amuneke.Umechambua vizuri
75% ya wachezaji wa stars ni wachovu firness ni poor .
25% wapo vizuri lakini kwakuwa wenzao ni wachovu basi na hao 25% ikifika muda wanachoka kwa kuwabeba hao 75%.
Kocha baada ya kuchagua wachezaji wake 27 akiwa misri analalamika eti Baadhi ya wachezaji aliowachagua Wameshindwa kuleta alichotarajia na hawezi kuwarudisha Tena Tanzania na kuwarudisha aliowatoa.
Benchi la ufundi uwezo ni Mdogo .