Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
1- Mohammed El Shenawy hana deni World Cup Qualifiers kama ambavyo Gabasky hakuwa na deni AFCON2021
2- Ni matumaini ya Waswahili kwenda Qatar zaidi ya Mwarabu sababu ya Waswahili watatu katika historia ya Kombe la dunia kufika mbali zaidi kuliko yoyote (Cameroon [emoji1062] (mwaka 1990 Robo fainali, Senegal [emoji1211] mwaka 2002 robo fainali na Ghana [emoji1110] 2010 robo fainali)
Hakuna mwarabu aliyewahi kufika robo fainali tangu dunia kuumbwa.
3- Fitna za Soka la Afrika si kila mti kaona?
Ila una uwezo nje ya favor ya Uwanja wa Nyumbani?
YANGA NA AZAM MJIFUNZE HAPA ACHENI MBOMBELA KUNA UWEKEZAJI HAUWEZI KUFANYIWA LOBBING KAMA HUJAJIPANGA
4- Heshima kwa Ghana
Walijua wao ni dhoofu li hali waliweka mikutano karibu 6 baada ya kutoka AFCON2021 mpaka serikali ikaingilia kati na hakuna cha FIFA wala nani alitia mdomo maana hata Ukraine walishindwa kisheria na kikanuni ila UMEJIPANGA AMA MNAPAMBANA NA DOGO WA SECURITY COMPANY TU SABABU YA MTAA NA HAMUENDANI NA KASI YA SOKA LA DUNIA?
5- Heshima kwa Edouard Mendy ni kipa bora Duniani na baada ya kupita mbele ya El Shenawy yeye anakuwa kipa bora Afrika , Ulaya na Dunia maana waliompa Ballon D'or hayupo World Cup Qatar [emoji1203] na haringi.
Nikujuze tu
Kuna manufaa mengi kuwa muafrika na mswahili.
MANE ONTOP OF THE WORLD KAMA MSUVA ASIYE NA TIMU NA KIM POULSEN ANAYEDHANIWA ANABAHITISHA ILA AME DELIVER
Heshima ya Afrika iko Mikononi mwa wanaokubali kuvuja damu bila makundi na kukubali kupitia madaraja kufika safari ya Canaan