Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
DuhUsiwastue mbumbumbu wenzio
Waache wamlete huyo tuna hamu ya kuwapiga 5G tena
Hawezi kukuelewa kwa sababu ametanguliza chuki kama pua yake.Hujui mpira Mzee, Neo Maema hapotezi mpira kirahisi, ana pass accuracy kubwa.
Huwezi kumuangalia mchezaji na kuhukumu Kwa dakika kadhaa tu.
Mchezaji anatolewa Kwa mkopo, msimu mzima Yuko bench Kwa kukosa kiwango.Hujui mpira Mzee, Neo Maema hapotezi mpira kirahisi, ana pass accuracy kubwa.
Huwezi kumuangalia mchezaji na kuhukumu Kwa dakika kadhaa tu.
Jina la mchezaji tu huwezi kuandika halafu unataka watu tuamini mashudu unayoandika humu.1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa
2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua
3. Hana maajabu yoyote uwanjani
4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana
5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu
6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa kutokana na uwezo wake
7. Meama hamzidi uwezo Chasambi
8.Meama hamzidi uwezo Edwin Balua
9.Meama hamzidi uwezo Mutale
10.Meama hamzidi uwezo Mutale ingawa naye ni garasa
11.Fahdu ajitathmini msimu ujao ni wa moto sana
Tatizo lako jamaa unaongea kishabiki sana, yaani uende Mamelodi sundowns ununue mchezaji wao tegemeo?Mchezaji anatolewa Kwa mkopo, msimu mzima Yuko bench Kwa kukosa kiwango.
Kama Simba wako serious na usajili wanunue wachezaji wa first 11 sio kuokota mizoga ya bench
Waende pale Mamelod wamg'oe Ribeiro, Mokoina,Zungu,Kakena
Japo Mamelodi sundowns hatumii jersey namba 10 ambayo ilikuwa inavaliwa na Lucas Ribeiro.Huyo jamaa anajua mpira kuvaa jezi namba 10 Mamelodi yenye watu sio swala rahisi sana mazee umechambua kwa sababu tu una Azam ila mpira hujui kitu bhana.
We huna akili kabisa Utopolo mmepewa mchezaji wa mkopo toka Sekhukhune ( Andy Boyeli) ambayo haipo hata top 5 ya ligi ya South Africa na mnatamba kabisa sembuse na Neo Maema anayetokea Mamelodi sundowns?Mchezaji anatolewa Kwa mkopo, msimu mzima Yuko bench Kwa kukosa kiwango.
Kama Simba wako serious na usajili wanunue wachezaji wa first 11 sio kuokota mizoga ya bench
Waende pale Mamelod wamg'oe Ribeiro, Mokoina,Zungu,Kakena
Andy Boyeli ana goli 6 wakati Peter Shalulile ana goli 4We huna akili kabisa Utopolo mmepewa mchezaji wa mkopo toka Sekhukhune ( Andy Boyeli) ambayo haipo hata top 5 ya ligi ya South Africa na mnatamba kabisa sembuse na Neo Maema anayetokea Mamelodi sundowns?