Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Watu wa scouting ndo tatizo
Punguza makasiriko..Ungeomba na wewe ucheze bure utopolo.
😂😂😂😂Jina la mchezaji tu huwezi kuandika halafu unataka watu tuamini mashudu unayoandika humu.
Relax, bahati mbaya Mimi na wewe bado hatujaishuhudia ligi lakini tayari ushauona udhaifu wao na kuona hawafai kabisa yaani.Andy Boyeli ana goli 6 wakati Peter Shalulile ana goli 4
Andy Boyeli ni Mkongomani hivo Kwa mazingira yetu anaweza kuja na kukupa potential yake
Sasa huyo Maema na Rushaina ambao ni bench warmer pale Mamelod na injury zao watakupa Nini, hao ni kama kina Skudu tu
Mashabiki wa Simba nyie ndo maadui wa timu yenu Kwa kutetea upumbavu
Kuna wachezaji wengi vijana huko west, mnaenda kuokoteza matakataka pale Mamelod
Anyway Wacha ligi ianze
huko kwenye ligi mbali sana,ngao ya jamii tu tukikutana tukiwafulumua wataanza kukataana wenyew kwa wenyew..!
Hata kabla ligi haijaanzaRelax, bahati mbaya Mimi na wewe bado hatujaishuhudia ligi lakini tayari ushauona udhaifu wao na kuona hawafai kabisa yaani.
Kwanini tusisubiri ligi ianze kuliko kuanza kumkosoa huyu au kumsifu yule kuwa ni Bora?
Tuliwambia mbumbumbu wenzio huu ukweli wanakasirikaItoshe kusema yanga Bingwa.
Simba hawapo serious kabisa.
Noma sana mrembo wetu.😂😂😂😂
Bado mpeni hata mechi tano.1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa
2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua
3. Hana maajabu yoyote uwanjani
4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana
5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu
6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa kutokana na uwezo wake
7. Meama hamzidi uwezo Chasambi
8.Meama hamzidi uwezo Edwin Balua
9.Meama hamzidi uwezo Mutale
10.Meama hamzidi uwezo Mutale ingawa naye ni garasa
11.Fahdu ajitathmini msimu ujao ni wa moto sana
Kumbe ilo ndio mnalijua Leo baada ya uyo mtokea benchi kuonyesha ni mchezaji wa kawaida au Mpira umeangalia peke yako? Andy boyeli amesajiliwa yanga lakini anachekwa kwamba kafunga goli 6 tu vipi yeye alikuwa kwenye ligi ya aina Gani ukilinganisha na bongo?Tatizo lako jamaa unaongea kishabiki sana, yaani uende Mamelodi sundowns ununue mchezaji wao tegemeo?
Ubora wa Mamelodi sundowns uko juu sana na ni ghali sana.
Nadhani umetazama mechi ya Leo ya South Africa dhidi ya Algeria, wachezaji karibia wote wa South Africa siyo first eleven za timu zao lakini wamewatoa kamasi Algeria.
Unapomdharau huyo Neo Maema nashindwa kukuelewa mkuu. Ligi ya South Africa klabu inayoshika nafasi ya 6 inaweza kushindana na klabu 5 za juu za ligi ya bongo.
Mamelod alikuwa mkaa benchi ndio maana mkapewa ilo garasa unamlinganishaje na boyeli aliyekuwa anapata namba kwenye kikosi cha kwanza na kafunga goli 6 kwenye timu iliyoshika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi? Kwaiyo Bora kukaa benchi mamelod kuliko kucheza shekukunhe?We huna akili kabisa Utopolo mmepewa mchezaji wa mkopo toka Sekhukhune ( Andy Boyeli) ambayo haipo hata top 5 ya ligi ya South Africa na mnatamba kabisa sembuse na Neo Maema anayetokea Mamelodi sundowns?
Huyo boyeli angekuwa mzuri wangekupa kwamkopo 😂😂😂😂 shekhe upo zero brain hakuna mchezaji mzuri watimu ndogo ukapewa kwamkopo kufungaa sio ishu uwezi kumbeza shalulile kwa boyeli kisa alimaliza na goli 6Andy Boyeli ana goli 6 wakati Peter Shalulile ana goli 4
Andy Boyeli ni Mkongomani hivo Kwa mazingira yetu anaweza kuja na kukupa potential yake
Sasa huyo Maema na Rushaina ambao ni bench warmer pale Mamelod na injury zao watakupa Nini, hao ni kama kina Skudu tu
Mashabiki wa Simba nyie ndo maadui wa timu yenu Kwa kutetea upumbavu
Kuna wachezaji wengi vijana huko west, mnaenda kuokoteza matakataka pale Mamelod
Anyway Wacha ligi ianze
Takwimu za Maema wenu ni sawa na Referee uwanjaniHuyo boyeli angekuwa mzuri wangekupa kwamkopo 😂😂😂😂 shekhe upo zero brain hakuna mchezaji mzuri watimu ndogo ukapewa kwamkopo kufungaa sio ishu uwezi kumbeza shalulile kwa boyeli kisa alimaliza na goli 6
brother kwani yule Mohammed Doumbia tumemsajili kutoka club gani?Mchezaji anatolewa Kwa mkopo, msimu mzima Yuko bench Kwa kukosa kiwango.
Kama Simba wako serious na usajili wanunue wachezaji wa first 11 sio kuokota mizoga ya bench
Waende pale Mamelod wamg'oe Ribeiro, Mokoina,Zungu,Kakena
Majesticbrother kwani yule Mohammed Doumbia tumemsajili kutoka club gani?