Mambo matano niliyoyaona kwa kiungo mpya wa Simba Neo Maema alipocheza na Algeria leo

Relax, bahati mbaya Mimi na wewe bado hatujaishuhudia ligi lakini tayari ushauona udhaifu wao na kuona hawafai kabisa yaani.
Kwanini tusisubiri ligi ianze kuliko kuanza kumkosoa huyu au kumsifu yule kuwa ni Bora?
 
Relax, bahati mbaya Mimi na wewe bado hatujaishuhudia ligi lakini tayari ushauona udhaifu wao na kuona hawafai kabisa yaani.
Kwanini tusisubiri ligi ianze kuliko kuanza kumkosoa huyu au kumsifu yule kuwa ni Bora?
Hata kabla ligi haijaanza
Simba hawako serious na usajili
Wamefanya vyema Kwa Kumsajili Kante na Sowah ambao unaona wataleta kitu
Ila huyo Bajaji, Rushaina na Maema hapo hamna kitu
 
Haya mambo ya kumuachia kocha kusajili ni hatari sana ndio mpaka leo yanaitesa Manchester United yaani huyu fadhlu ataleta wa sauz Africa hapo kibao halafu akija kocha mwingine anawatema wote.
 
Kwa aina ya ligi yetu na purukushani zake, kwa kweli atatakiwa apambane sana. Kwa sababu haonekani kama ni mchezaji tishio au wa kuchungwa muda wote awapo uwanjani! Na hii ni kutokana tu na aina yake ya uchezaji wa taratibu.
 
Bado mpeni hata mechi tano.
 
Kumbe ilo ndio mnalijua Leo baada ya uyo mtokea benchi kuonyesha ni mchezaji wa kawaida au Mpira umeangalia peke yako? Andy boyeli amesajiliwa yanga lakini anachekwa kwamba kafunga goli 6 tu vipi yeye alikuwa kwenye ligi ya aina Gani ukilinganisha na bongo?
 
We huna akili kabisa Utopolo mmepewa mchezaji wa mkopo toka Sekhukhune ( Andy Boyeli) ambayo haipo hata top 5 ya ligi ya South Africa na mnatamba kabisa sembuse na Neo Maema anayetokea Mamelodi sundowns?
Mamelod alikuwa mkaa benchi ndio maana mkapewa ilo garasa unamlinganishaje na boyeli aliyekuwa anapata namba kwenye kikosi cha kwanza na kafunga goli 6 kwenye timu iliyoshika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi? Kwaiyo Bora kukaa benchi mamelod kuliko kucheza shekukunhe?
 
Huyo boyeli angekuwa mzuri wangekupa kwamkopo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shekhe upo zero brain hakuna mchezaji mzuri watimu ndogo ukapewa kwamkopo kufungaa sio ishu uwezi kumbeza shalulile kwa boyeli kisa alimaliza na goli 6
 
Timu ndogo ishike nafasi ya 4
Boyeli ana goli 6
 
Huyo boyeli angekuwa mzuri wangekupa kwamkopo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shekhe upo zero brain hakuna mchezaji mzuri watimu ndogo ukapewa kwamkopo kufungaa sio ishu uwezi kumbeza shalulile kwa boyeli kisa alimaliza na goli 6
Takwimu za Maema wenu ni sawa na Referee uwanjani
 
Mchezaji anatolewa Kwa mkopo, msimu mzima Yuko bench Kwa kukosa kiwango.
Kama Simba wako serious na usajili wanunue wachezaji wa first 11 sio kuokota mizoga ya bench
Waende pale Mamelod wamg'oe Ribeiro, Mokoina,Zungu,Kakena
brother kwani yule Mohammed Doumbia tumemsajili kutoka club gani?
 
Fredy Michael Koublan FREDY FUNGAFUNGA alicheza nusu msimu ligi kuu ya zambia na bado takataka Andy Boyeli hakuweza kuzifikia goli za fungafunga, jamaa akaitwa akachukue tuzo yake ya topscorer. halafu utaskia mbweha mmoja anakwambia Boyeli ni mcongomani anapotential na atafunga thana hapa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…