Mambo matano niliyoyaona kwa kiungo mpya wa Simba Neo Maema alipocheza na Algeria leo

Sasa wewe Kwa akili yako unadhani Fred Koublan alikuwa striker Mbaya?
Wenge lenu mashabiki na viongozi wenu mambumbumbu hamkupa time ya kumuamini ila jamaa ni bonge la striker.
Sasa unamtoa Fred Koublan unamleta Ateba na Mkwala ndo nini?
 
Sasa wewe Kwa akili yako unadhani Fred Koublan alikuwa striker Mbaya?
Wenge lenu mashabiki na viongozi wenu mambumbumbu hamkupa time ya kumuamini ila jamaa ni bonge la striker.
Sasa unamtoa Fred Koublan unamleta Ateba na Mkwala ndo nini?
doubt inakuja pale ambapo mboyeli alishindwa kufikisha idadi ya goals alizoscore FUNGAFUNGA ndani ya nusu msimu tu. haya we nambie huoni kama nanii I don't know ni mboyeli sijui boyeli atafeli hapa bongo ambapo koublan (top top striker over mboyeli) failed
 
Walicheza season 1 pale Zambia?
 
Uyo mahema wenu tiyali tumemuona akicheza subilia tumuone na boyeli ndio utoe ulinganisho,,alafu unalinganisha mchezaji ambae ayupo Simba Wala ajasajiliwa kwanini? Alafu boyeli na uyo matent sijui wanacheza nafasi tofauti lakini kwa jicho la tatu kwa wanaoujua Mpira tuliomuona Leo kwenye mechi dhidi ya Algeria ameletwa sawadogo aliyechangamka!
 
Acha wivu; huyo ni kapteni wa Bafanabafana ingawa Mamelodi hawmtaki tena sasa hivi
 
Yule anakuja kwa mkopo.

Huna pesa unachukua unachopewa.


Kibaya zaidi, anakuja kwa mkopo ila Mo ataandika amelipa pesa
 
Mchezaji anatolewa Kwa mkopo, msimu mzima Yuko bench Kwa kukosa kiwango.
Kama Simba wako serious na usajili wanunue wachezaji wa first 11 sio kuokota mizoga ya bench
Waende pale Mamelod wamg'oe Ribeiro, Mokoina,Zungu,Kakena
Wa kwenu aliekaa mwaka mzima nje vipi?
 
Achana nao mkuu, subiri tu kelele za GSM anaharibu ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…