Mambo Matano usiyoyajua kuhusu Nahreel

Mambo Matano usiyoyajua kuhusu Nahreel

Nilitaka kukupa pongezi uliyeanzisha thread kwa uandishi mzuri ila kumbe umeitoa X, lakini nitasema… aliyeandika anajua 👏🏽👏🏽

Nahreel namkubali hata nje ya kazi yake kwa kuwa the coolest guy & humble.
 
1 - sio kweli, nimrod ni baba mkubwa. Ushua ulikuwepo Ila baadae wazazi wake hawakua sawa na nimrod. So ushua ulitoweka na hata sasa wazazi hawapo sawa na mtoto

2 - beef ilikuwepo, sio chin bees tu hata na ola na damas pia. Mkishakua pamoja mkitengana lazima maneno yaanze. Kuhusu nyimbo za game na kamatia chini, huo ni uongo.

3 - Nahreel maisha hayajawahi kumshinda, ni Aika kukata tamaa na muziki tu lakini sio maisha kama maisha. Moyoni sio tobo lao, wimbo uliokua tobo lao ni "chelewa(bokodo)", moyoni ilikuja kuboost tu

4 - wimbo uliomtoa Nahreel kama producer ni ongea na mshua?? Hapana sio kweli, wimbo uliomtoa Nahreel ni "Niaje Nivipi" wa Joh makini ulifanyika Kama kawa records na ilikua 2008, hiyo ongea na mshua ilikuja baadae sana, akiwa tayari ameshajulikana na kufanya nyimbo kubwa tu ikiwemo "stimu zimelipiwa" ya Joh Makini, huu ni wimbo mkubwa sana wa hip-hop na ndio ulikua wimbo bora wa mwaka na ukampa joh makini tuzo ya mwanahiphop bora kwa mara ya kwanza
NB: ongea na mshua haikufanyika Kama kawa, ulifanyika mj records. Tudd Thomas kama kawa? Wengi wanamfananisha Yudd wa kama kawa na Tudd. Yudd kwa sasa yupo tongwe records

5 - Sio kweli, wimbo wenye viewers wengi you tube ni "kwangwaru"
Beef na quick racka haikua beef bali quick hakutaka Nahreel aondoke sababu alikua na jina kubwa sana kipindi hiko. Nahreel alikua ashapata pesa ya kuanzisha studio yake "The industry" isingewezekana kuwa chini ya mtu tena.

Nimechoka kutype, ila umeandika uongo mwingi

NB: Nahreel ni moja ya producer bora kabisa kuwahi kutokea - anaingia Top 5 ya best of all time
Umri umenitupa, habari za wanamuziki wa sasa zinanipita sana. Ila nakukubali sana mkuu, kwa taarifa zilizosheheni kuhusu muziki na wasanii. Yaani wewe ulichosema kimepita, nilishangaa kusoma kuwa Tudd alikuwa Kama Kawa!!

Siku niaje nivipo inatambulishwa pale EATV kipindi cha Friday Night Live na Ssebo, aisee..sikuamini kama mkwaju umefanyika na watoto wa kibongo maana Nahreel alipika beat ya ajabu, Joh Makini akaja na lyrics za kutisha, Nicki wa Pili akatambulishwa... Kesho yake nawaambia wana, Joh Makini ni mtu mbadi sana
 
Navy kenzo nawakubaliii sanaaa,

Ila nilipowakubali zaidi ni pale walipotengeneza beat ya "never ever " ya Vanessa Mdee.

Walitisha sanaaa.
 
Hawa wanajuwa kuimba
Navy n kenzo
Siyo wale wasanii wenu wanapiga kelele tu na kik nyingi

Ova
 
Back
Top Bottom