plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,394
- 1,434
Kutokana na kwamba Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji bora kabisa ulimwenguni. Basi zifuatazo ni siri za mafanikio yake kwenye game na sisi tunaweza kuziapply kwenye maisha yetu na fani zetu.
1. KUJIAMINI
Tangu mwanzo mchezaji huyu amekuwa akijiamini na alisimamia kile alichokiamini, imani yake ikamchochea kufika alipofika.
2. KIPAJI PEKEE HAITOSHI
Cristiano Ronaldo alihojiwa na kusema "Talent without hard work is nothing". Hii ni sawa na ule mfano wa talanta alioutoa Yesu, wawili walizalisha talanta zao mmoja akaifukia, hivyo kitumie kipaji chako kukiongeza.
3. USIJALI NINI WENGINE WANAFIKIRIA KUHUSU WEWE.
Cristiano Ronaldo huwa anapenda kusema kwenye ufahamu wake yeye anajiona the best siku zote hajali maneno ya wengine.
4. USIPOTEZE LENGO
Cristiano Ronaldo anashauri watu tukomae na kile tunachokifanya tusiyumbeyumbe.
5. KUJALI FAMILIA
Cristiano Ronaldo anashauri usiache kujali familia yako hata kama utafanikiwa kiasi gani kwani familia yako siku zote ipo na wewe kwa nyakati nzuri na nyakati mbaya.